Jina la shule

rafasa

New Member
Feb 15, 2012
1
0
Natafuta jina la shule ambalo zamani likijulikana kwa "St. Gaspare Bertoni Secondary School" mbona silioni kwenye matokeo ya necta au jina limebadilishwa?
 
kama unataka matokeo tu, ingia namba ya kituo ambayo ni S.0729
mimi mwenyewe nilimaliza pale csee 2003
 
Back
Top Bottom