Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,093
- 1,027
hahahaaa! hawashindwi watu kutumia fursa kwetu yapo ila sijui yanaitwaje.....
hahahaaa! hawashindwi watu kutumia fursa kwetu yapo ila sijui yanaitwaje.....
Sio Thespesia garckeana?Azanza garckeana is a scientific name for this sweet and sugary fruit bearing tree
I
Tunda hili huitwa mtogo na matunda yake huitwa matogo kwa kinyiramba.
Kinyamwezi huitwa mahonda,na karibu kila lugha ina jina lake.
Matunda yake yakiiva huwa matamu ya huwa magumu kabla ya kutafunwa,na huwa malaini kama makamasi.
Wanyiramba huyaita bigiji ya asili.
Naomba jina la kitaalamu ya haya matunda na mti wake.
Probably wewe siyo mbantuKikwetu tunaita tlaqay
Odala duKwa kisukuma mti wake unaitwa ntobo, tunda linaitwa nhobho
map*mbu ya paka kiswahili.mhelemehe-kigogo