Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

Kuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa.

Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya,
Juan Roman Riquelme

Kevin Prince Boateng

George Magere Masatu

Jina gani huwa linakuvutia?

Giannis Antetokounmpo
Manuel Rui Costa
Alessandro Costacurta
Gianluca Zambrotta
Stefan Effenberg
Uchechukwu "Uche" Okochukwu
Ole Gunnar Solskjær

Wachezaji karibu wote wa zamani wa Tanzania, maana zamani kabumbu tulikuwa tunalisikiza RTD
Edibily Jonas Lunyamila (hii mashine acha kabisa)
Joseph Kaniki "Golotha"
Sanifu Lazaro "Tingisha"
Juma Bakari Kidishi
Salum Kabunda "Ninja"
Mohamed Mwameja "Tanzania one"
Mwanamtwa Kihwelo "Dally Kimoko"
.
.
.
Hapa wapo wengi sana...
 
Back
Top Bottom