Kutoka katika vyanzo vya kuaminika inasemekana matokeo ya Kura za maoni huko Monduli bado ni kitendawili kwani zimesharudiwa lakini bado hazijatangazwa na inasemekana kesho jumatano wanarudia tena.
Hata hivyo wananchi wa Monduli wamesema kama zitarudiwa mara ya tatu yaani kesho basi hawapigi tena kura na wanarudisha kadi za CCM. Chadema ni wakati wenu huu kwani hata nyani atkitaka kufa miti yote huteleza.