mwanakidagu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 208
- 78
Kwa mara nyingine tena, nawahimiza vijana wenzangu kujitokeza mapema.kuanza harakati za kiuongozi kuziba mapengo yaliyopo ya madiwani wa ccm jimboni iramba magharibi. Nasema kuziba mapengo kwa sababu hata uwepo wao hawa wazee ni kama wafu kifikra. Na kuibua vipaumbele vya maendeleo jimboni iramba magharibi. Nasema hivi huku nikitambua siasa za tz zina mtambuko katika maendeleo ya eneo husika. Wazee hawa si kwa makosa yao bali kosa la kimfumo.
Wa magamba wanyime elimu ya kujitosheleza wape.( k.k.k)tatu.umepwaya sana zama hizi.wamekuwa wakipokea posho na kurudi katani mwao bila mwelekeo chanya wa mipango ya muda mrefu na mfupi hasa katika nyanja za .elimu..afya na kukuza uchumi kwa maendeleo. Ya jimbo.mfano mmoja wapo. Katika nyanja ya elimu watoto wengi wanaosoma shule za msingi wanalazimika kusujudu.wanapoandika mithili ya ibada.
Lakini watu hawa wanaoitwa madiwani wengi wao kutoka ccm wanaendekeza mambo ya hovyo. Kabisa.nawaomba vijana mrudi nyumbani mkaombe nafasi za udiwani kupitia CHADEMA.kukomesha enzi ya ccm jimboni iramba magharibi iliyovimbiwa madaraka.
Pongezi kwa kata chache zilizoko kwenye vyama shindani .igeni mfano wa kijana mwenzetu aliye nyakua kwa kishindo udiwani kata ya kiwira .wilayani rungwe mbeya.toka dar es salaam ,arusha,mwanza na na maeneo mengine.
Rudini tuunganishe nguv na sisi tuliopo huku, kukomboa jimbo hili toka mikono ya mkoloni mweusi anayevuja damu ya haki zilizokandamizwa za watanzania na wana iramba magharibi.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
MUNGU WABARIKI WANA JIMBO, IRAMBA MAGHARIBI.