Erasto..sichila
Member
- Apr 9, 2012
- 78
- 8
Ukisoma kichwa juu,utafikiria mengi na kushangaa lakini watu husema ukishangaa ya musa.......... ,. Ukweli mbunge huyu hajawahi kanyaga makao makuu ya wilaya tangu iteuliwe na Rais kuwa wilaya mpya sembuse kulala pale makao makuu ya wilaya ni wilaya na jimbo pekee tangia lianze shule zote za wilaya hiyo ni ziro achilia mbali matokeo ya mwaka huu. Huyu mbunge Silinde hana ushawishi wowote kuwa nini tatizo na nini kifanyike.
Hospitali za wilaya mpya kukosa dawa hususani kituo cha afya Ndalambo na makao makuu ya wilaya Chitete kuwa na dispensary isiyo na dawa,wilaya ni yatima haina mbunge anaye shawishi yote haya wala kufanya mikutano na wananchi hata siku moja.
Wadau wa wilaya waishio Dar es salaam Dodoma au Mbeya mjini kwake huyu mbunge Silinde ni upuuzi na kuwa anajiamini anajua yote licha ya ukweli kuwa kazaliwa Dsm mchikichini na hajui historia ya wilaya ile wala chimbuko lake.
Mimi sina chama ila nina mapenzi na wilaya yangu mpya iliyokosa maendeleo tangia uhuru hadi leo inakosa mshawishi wa wilaya ile, nilitegemea Mbunge tena kijana lakini ni kinyume.
Narudia ni mpenzi wa uzawa na sina uchama mimi wilaya kwanza chama au siasa baadaye mwisho uchaguzi ujao wajitokeza wapenda Mbozi na kujua uchungu wa uduni wa wilaya yetu ili awahamasishe wananchi na kuisimamia serikali ilete maendeleo kule ,wanambozi changieni ukweli wa jambo hili. Najenga hoja tena hatuna mbunge.