Jimbo la Chalinze kwenda CHADEMA 2015

NDEKUYO

Senior Member
Oct 6, 2012
184
33
Kutokana na udhaifu mkubwa wa wabunge wa enzi zote toka CCM kwa jimbo hili kunakosababisha majanga kwa wakazi wa jimbo la Chalinze kuna dalili zote CHADEMA kuchukua jimbo. Kuna mikakati mikali ya Cdm kuhakikisha jimbo linakombolewa.
Huwezi amini kuwa jimbo la Chalinze ndiko nyumbani kwakwe JK maana huduma za jamii ni mbovu mno sijui km ni Tanzania nzima, ila chalinze zahanati zote hazina dawa kabisa labda ARv feki, shule za msingi km mabanda ya kuku unaweza kuona majengo ya madarasa sasa nenda kaingie ndani uone km nguruwe wanapumnzika humo mahandaki kufa mtu, walimu haba mfano shule ya Pongwe ina walimu wawili acha huko kibindu, mkange talawanda, mbwewe, miyono nk. Maji ndiyo usiseme lakini pamoja na matatizo yote hayo MBUNGE WA JIMBO hata hajulikani alipo tangu apite kuomba kula hadi wa leo. Nawasilisha.
 
Tatizo mlifikiri kuwa Rais akitoka huko na mbunge wake basi maisha yatakuwa mtelemko, ukweli ni kwamba mlitakiwa kuweka mbunge kutoka chama cha upinzani ili awe anamwamsha pindi anapojisahau.
Haya kama mlipoteza bahati jana, leo isubili mlangoni usifumbe macho.
 
kwa mtanzania yeyote, ukiona umasikini umekuzunguka, jua ni matokeo ya CCM, ukiona wanao hawapati elimu bora ujue ni CCM, ukiona hupati tiba stahiki ujue ni CCM...kisha jiulize, bado unaihitaji CCM kuwa kwenye maisha yako?
 
Mabadiliko hayaepukiki na lazima yapite pia Chalinze.

Kumbukeni mabadiliko ni mchakato ambao unataka kuanzishwa na raia wenyewe.

Wakuu huko huko mlipo anzisheni harakati ndogo ndogo nyie wenyewe, halafu mtashangaa kila raia anawaunga mkono. kwa mfano;

1/Mwageni 'sumu' kwa kuoanisha umaskini wenu na uwepo wa CCM madarakani.

2/Tafuteni bendera nyingi za CHADEMA na mziweke zipeperuke juu tena hadharani.

3/Imbisheni slogan ya People's Power kwa kila mtu.

4/Tafuteni magwanda ya CHADEMA na muanze kuyavaa mara kwa mara.

5/Wahamasisheni wananchi waanze kuhoji na kudai kila haki yaliyopunjwa.
 
Chadema chalinze sawa na Slaa na kurudishiwa upadri licha ya kuzaa nje
 
Ifike mahali watanzania tuone kwamba ahadi za ccm ni sawa na ahadi za kuku, hazitekelezeki! Kwa nini tusiwape wengine ili nao wakishindwa tuwawajibishe? Who are ccm? Wao ndo wana hatimiliki ya nchi? Wameufanya ujinga na umasikini wa watu wa nchi hii kuwa mtaji wao kuendelea kuwepo. Sasa enough is enough, they should go to hell! CDM eneleeni na kutoa elimu kwa umma ili watu waondokane na naive ideas kwamba matatizo ya nchi hii yameumbwa na mwenyezi Mungu! Wajue kabisa huwa hatima ya maisha yetu imo mikononi mwetu!
 
Matokeo ya kudanganyika kwa ngoma, tisheti, kofia na kanga ndo hayo, wanapaswa kuamka
 
Ifike mahali watanzania tuone kwamba ahadi za ccm ni sawa na ahadi za kuku, hazitekelezeki! Kwa nini tusiwape wengine ili nao wakishindwa tuwawajibishe? Who are ccm? Wao ndo wana hatimiliki ya nchi? Wameufanya ujinga na umasikini wa watu wa nchi hii kuwa mtaji wao kuendelea kuwepo. Sasa enough is enough, they should go to hell! CDM eneleeni na kutoa elimu kwa umma ili watu waondokane na naive ideas kwamba matatizo ya nchi hii yameumbwa na mwenyezi Mungu! Wajue kabisa huwa hatima ya maisha yetu imo mikononi mwetu!

Umenena mkuu.
 
Kwa taarifa yenu, mtu akipeperusha bendera ya cdm viongozi wa serikalli humfuata na kumwammbia hatapata huduma zozote toka kwao kwani ni kinyume nao.Watu walishaichoka ccm na wanahitaji stata waelekee kwenye mabadiliko ya kweli.Huwezi amini kuwa hata chanjo za watoto hazipatikani chalinze ila kwa ruuuushwa na hivyo raia wengi ambao hawajui umuhimu wake na wamezingwa na umaskini hawawachanji watoto wao na hivyo wanaweza kupata magonjwa na kufa muda wowote. Msilete uutani na dhihaka zenu tusaidieni chalinze.tunahitaji M4C ianzie Msoga na imalizie chalinze mzee.
 
Kutokana na udhaifu mkubwa wa wabunge wa enzi zote toka CCM kwa jimbo hili kunakosababisha majanga kwa wakazi wa jimbo la Chalinze kuna dalili zote CHADEMA kuchukua jimbo. Kuna mikakati mikali ya Cdm kuhakikisha jimbo linakombolewa.
Huwezi amini kuwa jimbo la Chalinze ndiko nyumbani kwakwe JK maana huduma za jamii ni mbovu mno sijui km ni Tanzania nzima, ila chalinze zahanati zote hazina dawa kabisa labda ARv feki, shule za msingi km mabanda ya kuku unaweza kuona majengo ya madarasa sasa nenda kaingie ndani uone km nguruwe wanapumnzika humo mahandaki kufa mtu, walimu haba mfano shule ya Pongwe ina walimu wawili acha huko kibindu, mkange talawanda, mbwewe, miyono nk. Maji ndiyo usiseme lakini pamoja na matatizo yote hayo MBUNGE WA JIMBO hata hajulikani alipo tangu apite kuomba kula hadi wa leo. Nawasilisha.

Mbona hiyo ndiyo signature nchi nzima mkuu!
 
Huko huwa wanadanganywa na pilau..hawa kuwatoa ktk kijani yataka moyo..WAMEPIGIKA mfano pale Msoga ni njaa tupu kazi yao bao tu.
 
Lugoba, Msoga, Mboga, Mandela, Miono, Kiwangwa, Masugulu, Mwetemo, Bago, Msinune, Kidomole, mpaka ubena zomozi makamanda wamevuruga. Wamewasha moto wa petroli. Kwa mwendo kasi walionao hawa makamanda,nakubali USHINDI MKUBWA SAAANA UPO!.
 
Mabadiliko hayaepukiki na lazima yapite pia Chalinze.Kumbukeni mabadiliko ni mchakato ambao unataka kuanzishwa na raia wenyewe.Wakuu huko huko mlipo anzisheni harakati ndogo ndogo nyie wenyewe, halafu mtashangaa kila raia anawaunga mkono. kwa mfano;1/Mwageni 'sumu' kwa kuoanisha umaskini wenu na uwepo wa CCM madarakani.2/Tafuteni bendera nyingi za CHADEMA na mziweke zipeperuke juu tena hadharani.
Mwanzo Mgumu: Awali jimbo hili kadi na bendera za cdm ilikuwa dili kubwa!.. Magamba yalikuwa yananunua kadi na bendera kati ya sh. 2,000/= na 20,000/=. Sasa upepo huu umepungua kidogo!.
 
Back
Top Bottom