Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,256
- 5,325
Utakuwa prof. Yupo kwenye orodha ya magwiji lakini anamiliki bar survey au makongo. Biashara Ambayo hata Masawe asiyejua mlango wa darasa anafanya.
Usomi na utajiri ni vitu viwili tofauti
Kama wewe unasoma ili uje uwe tajiri,jiandae kuwa disappointed