Jiji la Kigali-Rwanda mwaka 2040...!!!!

Nadhani muungwana anaongelea zaidi kwenye USAFI na sio urefu wa maghorofa. Dar kuna maghorofa marefu hayana Parking na maji watu wanapandisha kwa ndoo tena hayana lift. Pita kariakoo utaona.

Ila Dar 2040 itakuwa imetapakaa kinyesi kila kona kwani saa hivi tu kwa population iliyopo wameshindwa kumanage sewage so by 2040 tegemea mavi kila kona. Mfano halisi tembea kutoka Kijitonyama Sayansi hadi Chuo Cha Ustawii wa Jamii uone panavyonuka, utadhani mvua ya mavi imenyesha.

Dar ni chafu mno wajamaeni,


ukweli mchungu!

Dar ni chafu kiasi cha kutisha ..................na bahati mbaya hapo ndio wageni wetu wanapofikia basi wanaondoka na mtazamo hasi sana; kiasi kwamba mie nimejaribu utaratibu mpya kabisa wageni wangu wote najitahidi watue KIA na ikibidi watue JNIA na washuttle faster tunatoka kabisa hapo ................nauunga mkono hoja DAR NI CHAFU na INANUKA
 
Jiji la Kigali - Rwanda litaonekana kama hivi mwaka 2040..!!!

Vipi Tanzania tutaonekanaje ..????

16159_1_kigali1.jpg


kigali-city-tour.jpg


kigali-masterplan-1.jpg

tuwaombee wasichinjane tena ili watimize ndoto hizo
 
Asante MzalendoHalisi kwa kumsaidi ndugu yetu Mu-Israeli ambayo nafikiri haijua vizuri Dar! Tembelea SKYSCRAPERCITY TANZANIA FORUM, uone mambo..Kigali si kitu kwa Dar!

Kigali shindanisha na Mwanza au Arusha.:heh:
Issue sio majengo bali mpangilio bora wa mji, kuanzia mandhari, barabara na usafi. Hapo Dar tunakwama, itahitajika roho ya chui kwa kiongozi kuujenga huu mji katika mpangilio bora.
 
Sawa kabisa, ukuaji wa quantity, yes Tanzania tunaongoza.
Tatizo ubora..!!
Angalia Nairobi kwa mfano, jamaa wako juu sana kwa ubora wa barabara (na wala hawana utajiri mkubwa kama sisi).

Check hii ndio Nairobi....ifikapo 2040 watakuwa wapi!

nairobi-hilton_1440-900.jpg


thikaroad.jpg


THIKA-SUPER-HIGHWAY1.jpg


greensuncities_thikard-18-of-45.jpg
 
Back
Top Bottom