Wikiliki
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 528
- 139
Habari za kuaminika ni kuwa barabara zote za ndani ya jiji la arusha na zinazoingia na kutoka ndani ya jiji zinatarajiwa kuwekwa lami zote.
Tayari mikataba ya kujenga barabara imeshasainiwa na kazi itaanza mwezi novemba mwaka huu. Tuombe wasije wakatokea chakachuzi wakaharibu kazi hii nzuri.