Jihadharini wanawake Dar es salaam - serial killer on the loose!

Je habari na ya huyo kiongozi wa 5 star zina uhusiano?

Boss hata miye nilitaka kumuuliza Fidel.... ila Fidel kasema muuaji ni mwarabu.

Huyu Serial Killer siyo mwarabu, wala hakumjeruhi marehemu mahali popote.Tena usiku wake muuaji alitoka kwenda kununua mishkaki! Akarudi wakalala. Inasadikiwa huenda alitilia humo sumu maana marehemu alitapika sana.Matapishi yalikutwa chumbani.Nitashangaa sana kama watashindwa kufanya investigation haraka ku baini muuaji maana kuna mashahidi kadhaawaliomuona muuaji kwa macho na wanamwelezea vizur sana jinsi alivyo.
 
WOS
Actually jina la mwarabu wa dubai ni maarufu kwa waswahili pia
ni nikc name tu...
so nahisi kuna link hapa
 
Boss hata miye nilitaka kumuuliza Fidel.... ila Fidel kasema muuaji ni mwarabu.

Huyu Serial Killer siyo mwarabu, wala hakumjeruhi marehemu mahali popote.Tena usiku wake muuaji alitoka kwenda kununua mishkaki! Akarudi wakalala. Inasadikiwa huenda alitilia humo sumu maana marehemu alitapika sana.Matapishi yalikutwa chumbani.Nitashangaa sana kama watashindwa kufanya investigation haraka ku baini muuaji maana kuna mashahidi kadhaawaliomuona muuaji kwa macho na wanamwelezea vizur sana jinsi alivyo.

Ni kipi kinachomuunganisha huyu bwana na vifo vyote hivyo saba... (aina ya mauaji) yaani wote wamekufa kwa kupewa sumu hence kutapika au katika hizo Guest zote kulikuwa na hizi description za huyu jamaa mtanashati?..

Sababu unajua sometimes huwa kuna copycat killers au huenda wauaji ni zaidi ya mtu mmoja (sometimes you never know for sure mpaka mtuhumiwa akishikwa na kuhakikisha kwamba vifo vyote alikuwa ni yeye) au maybe hii huenda ikawa inasukumwa na imani za kichawi (hili tatizo tunalo sana Africa kuliko ma-psycho) In short hatuwezi kujua ila sitashangaa kama haya mambo yanasukumwa na imani za kichawi
 
hayo ni mapepo tumuombe Mungu yashindwe hayo mapepo

Wewe ni mtu wa pili namsikia akisema ni pepo.Nadhani watu wanaposhindwa kupata ufahamu wa tukio, hasa ukizingatia hili ni tukio lisilo la kawaida kwa mazingira ya Kitanzania, basi hukimbilia kusema ni pepo.Mimi naamini kuwa ni mtu mbaya - serial killer.

Ni kama mambo ya popo bawa. Sijui kama popo bawa ni kweli au myth.
 
haijalishi ni mapepo au kulogwa...
akamatwe apelekwe kwenye sheria....
halafu hayo mapepo yamsaidie kesi yake tuone....
 
dah huyu jamaa lazima atakua ametendwa na mke wake either ameachwa au alikataliwa au mke alikua natoka nje ya ndoa tujiulize
  • kwann anaondoka na pete za ndoa
  • kwann wake za watu tu
  • kwann wawe wa umbo fulani?
  • kwann awauwe usiku na kulala nao mpaka asubuhi?...[QUOTE
Ninatatizwa kido na yafuatayo:

a) Taarifa za yeye kuondoka na Pete za ndoa zimetolewa na kuthibitishwa na nani? wanawake wenye ndoa mara nyingi akitoka nje ya ndoa anatoa pete.
b) Properties za kuwalenga wanawake weupe,wenye makalio makubwa zimefahamikaje? Machangu wengi wana properties hizo. Si wanachubua na kuhumua! na wanaume wengi ndo hobbies zao.
c)Kuwaua usiku!! huo ndo muda tulivu wa uhalifu. Yawezekana anawaua muda mfupi kabla ya asubuhi! Kuwaua usiku akalala nao hadi asubuhi? mmejuaje?
d) Jambo kubwa kama hili, polisi hawajalifuatilia na kumpata mhusika?

Maishapopote, WoS: Ni kama hadithi ya kusadikika, vinginevyo WoS atakuwa na mengi ya kuisaidia polisi.
 
Could this be a sexual maniac?

To me it sounds like revenge......mambo ya kusalitiana then mtu anageuka kichaa na kuanza kuwauwa wanawake wote wenye maumbo yale, rangi ile, miaka ile na walioolewa....serial killings for a revenge of unfaithfull deeds.....just thinking aloud!!
 
Seems idara ya upelelezi ya polisi inapeleleza kesi zilizofunguliwa pekee. Ishu kama hizi kwao ni mlima.

Jamii ihusike kukomesha hili balaa.

Kweli stereotypes huchangia katika poor investagations. Its funny kwamba wazungu say USA wana bias kwamba race fulani ndio inafanya makosa ya aina fulani.Hata hao experts ambao ni wazungu wamekuwa kwa miaka mingi wakiamini weusi hawawezi kufanya makosa fulan fulani - sijui ni kwa vile hayo makosa yanafanywa kwa 'ustadi mkubwa" hivyo kuona weusi hawa hiyo sophistication au sijui ni nini!

WoS, si ustadi bali ni takwimu. Namba hazidanganyi. Serial killers wengi USA ni wazungu na armed robbers wengi ni weusi. Na hii haimaanishi hakuna serial killers weusi au armed robbers weupe. Kwa hiyo panapotokea uhalifu wa kitu fulani nadhani ni kawaida ya binadamu kudhania kuwa mhalifu ni mmoja wa walewale usual suspects wakati si mara zote lazima iwe hivyo.

Chukulia huu mfano, ukisikia sasa hivi tawi la benk ya Exim pale Namanga karibu na Best Bite limevamiwa na kuporwa na majambazi si ajabu moja kwa moja ukadhania majambazi hayo ni wanaume tena wa Kiafrika wakati inaweza ikawa ni wanawake wa Kihindi.

Ila kwa law enforcement agency yoyote ile iliyo makini hawawezi kum-rule out yeyote yule au kundi lolote lile hadi mtuhumiwa atakapopatikana.
 
Lolote hapa tutakalosema itakuwa speculations...., sijaona mtu yoyote hapo juu amesema huenda hii imetokana na imani potofu za kichawi ( na tukiangalia history ya nchi zetu za kiafrika) uwezekano huu sio wa kupuuza
 
Hilo la uchawi si ushasema wewe au lazima tuseme wote? :]
 
Yaweza kuwa ritual killings na conditions anazijua yeye mwenyewe zinazoambatana na anayofanya

Labda ni bonge la tajiri sasa hivi au business yake inanawiri zaidi etc
 
Lolote hapa tutakalosema itakuwa speculations...., sijaona mtu yoyote hapo juu amesema huenda hii imetokana na imani potofu za kichawi ( na tukiangalia history ya nchi zetu za kiafrika) uwezekano huu sio wa kupuuza

I am not ruling out anything yet for even the details are sketchy. Do you know how many people fit the profile that has been provided? Even worse, there is no sketch police composite of the suspect. And I won't be surprised if the whole country doesn't even have a single sketch composite artist.
 
dah huyu jamaa lazima atakua ametendwa na mke wake either ameachwa au alikataliwa au mke alikua natoka nje ya ndoa tujiulize
  • kwann anaondoka na pete za ndoa
  • kwann wake za watu tu
  • kwann wawe wa umbo fulani?
  • kwann awauwe usiku na kulala nao mpaka asubuhi?...[QUOTE
Ninatatizwa kido na yafuatayo:

a) Taarifa za yeye kuondoka na Pete za ndoa zimetolewa na kuthibitishwa na nani? wanawake wenye ndoa mara nyingi akitoka nje ya ndoa anatoa pete.
b) Properties za kuwalenga wanawake weupe,wenye makalio makubwa zimefahamikaje? Machangu wengi wana properties hizo. Si wanachubua na kuhumua! na wanaume wengi ndo hobbies zao.
c)Kuwaua usiku!! huo ndo muda tulivu wa uhalifu. Yawezekana anawaua muda mfupi kabla ya asubuhi! Kuwaua usiku akalala nao hadi asubuhi? mmejuaje?
d) Jambo kubwa kama hili, polisi hawajalifuatilia na kumpata mhusika?

Maishapopote, WoS: Ni kama hadithi ya kusadikika, vinginevyo WoS atakuwa na mengi ya kuisaidia polisi.

Nimekusoma ndugu yangu!
FYI Hizi info siyo siri na mimi siyo wa kwanza kuwa nazo.Nimeshangazwa kuwa hapa JF ni kama watu wanazisikia kwa mara ya kwanza.Wewe unayenitaka nisaidie polisi kwa taarifa yako polisi tayari wanajua na wanalifanyia kazi hivyo hawanihitaji.
 
Back
Top Bottom