Jihadhari unapokuwa maeneo haya Dar es Salaam

soon tutakuwa kama johannesburg, mtu anauwawa kwa simu tu, wao walianza hivi hivi, polisi wa bongo noma sana kazi yao ni kutafuta madeal, siye ndiyo tunaowalipa mishaara yao,yani kila sehemu hiko ovyo ovyo tu.

jamani jana nimeona dada mmoja mbele kidogo ya Rose Garden akiporwa begi la laptop na mwendesha pikipiki.
Tuweni makini

Mlimani city ni noumaaa!!
Kuna jamaa yangu mmoja aliibiwa VX, alichanganyikiwa jamaa akawa anaitafuta gari mfukoni!

Hata hii boda ya chuo-kimara kupitia msewe nayo mida ya jioni ni soo bandung!!

buguruni usiseme kituo cha chama 45% ya vijana wa pale ni vibaka wanachomea vyombo kwa kwenye magari mchana kweupe na hakuna anaeuliza coz wanaweza kukuchenjia muda wowote coz wako wengi mno

Mkuu, maeneo ulioyataja kweli ni ya kujihdhari sana! Maeneo ya mtaa wa Congo Kariakoo ni hatari kwa vibaka waporaji haswa kwa wanawake, maeneo ya Mchikichini Ilala ni hatari sana kwa vibaka waporaji!

Vituo vya dalala hatari kwa vibaka upande wa Kawawa road, Manyanya, Studio, Mikumi, Kigogo, Magomeni Hospital. Mengine ni Morogoro road, Usalama, Mwembechai, Manzese, Kagera, Mapipa, Jangwani

Kijitonyama, Sinza na Mikocheni:

Mitaa ya Sayansi, Makumbusho na Maeneo ya Mikocheni Rose Garden ni hatari sana kwa kina dada na kina kaka ambao huninginiza mabegi ya laptop na mapochi makwapani mwao.

Kuna kundi la vijana linatumia magari kukwapua mabegi na mapochi hayo.

Wanachofanya ni kwamba dereva anapunguza mwendo na kukusogelea kisha abiria aliokuwa nao hukwapua mikoba hiyo na kukimbia.

Simu pia huibiwa kwa mtindo huo.

Mbagala:

Mitaa yote ya Mbagala Charambe, Hadi Kiburugwa hi hatari sana kwa kuwa kuna kundi la vibaka linaloitwa Mbwa Mwitu. Kundi hili hupora fedha, simu na kila ulichonacho hadi viatu. Ukikutana nao wanakushambulia kwa vipisi vya nondo na kukuibia huku wakikuacha huna fahamu.

Girrafe Hotel:

Kwenye maegesho ya hoteli hii ni hatari sana kwa wenye tabia ya kuacha mali za thamani ndani ya magari yao.

Kuna kundi la vijana likishirikiana na walinzi wa hotel

ni kweli kabisa. Mie niliibiwa gari sinza sitosahau kagari kangu kalikuwa kapya kana miezi mitatu tu na hela zenyewe za mawazo hizi.

Mlimani city ni noumaaa!!

Kuna jamaa yangu mmoja aliibiwa VX, alichanganyikiwa jamaa akawa anaitafuta gari mfukoni!

hapohapo mdogo wangu alitumwa na mama kuchukua pesa atm laki 3 akaishiwa kuwapa watu wanaojifanya wafanyabiashara ya madini wakaenda kumtelekeza blue pearl,wakimuachia nati za gari wakidai ndo madini. Hii ndo bongo dsm aliyoisema prof.jey

Mkuu, maeneo ulioyataja kweli ni ya kujihdhari sana!

Maeneo ya mtaa wa Congo Kariakoo ni hatari kwa vibaka waporaji haswa kwa wanawake, maeneo ya Mchikichini Ilala ni hatari sana kwa vibaka waporaji!

Vituo vya dalala hatari kwa vibaka upande wa Kawawa road, Manyanya, Studio, Mikumi, Kigogo,

Magomeni Hospital.

Morogoro road, Usalama, Mwembechai, Manzese, Kagera, Mapipa, Jangwani

umesahau na mwenge kuanzia kituo cha daladala mpaka mliman city hapatamaniki kwa kupora hawajali mchana wala usiku

Nawaomba mtembee na bisibisi na kila wakati uwe tayari kukabiliana nao. Juzi kati nilikutana nao mitaa ya kijitonyamaa na tuliparangana hakuna mfano. Nilikua na spoke cku hiyo, nina uhakika mmoja wao ni chongo kwa sasa, ila hata wao wako fiti manake waliniweza sana. Tuwe makini sana wakazi wa Dar. Nafikiri maeneo yote yamechafuka.

Back
Top Bottom