Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Apr 4, 2012 #1 Jihadhari Hii Inaweza Kukutokea Kama Hutazingatia Kufanya Mazoezi Vizuri!
S Smarty JF-Expert Member Feb 25, 2011 776 426 Apr 4, 2012 #2 Kila aina ya zoezi inakuwa na objective behind...kwa hiyo usimseme vibaya huyu mtu nae alikuwa na malengo yake.
Kila aina ya zoezi inakuwa na objective behind...kwa hiyo usimseme vibaya huyu mtu nae alikuwa na malengo yake.
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Apr 4, 2012 Thread starter #3 Prof Kasambanda said: Kila aina ya zoezi inakuwa na objective behind...kwa hiyo usimseme vibaya huyu mtu nae alikuwa na malengo yake. Click to expand... Kwahiyo unamaanisha malengo yake niyakutofanya zoezi la kukaza msuli wa hayo Makalio sio??!!
Prof Kasambanda said: Kila aina ya zoezi inakuwa na objective behind...kwa hiyo usimseme vibaya huyu mtu nae alikuwa na malengo yake. Click to expand... Kwahiyo unamaanisha malengo yake niyakutofanya zoezi la kukaza msuli wa hayo Makalio sio??!!
BUBE JF-Expert Member Nov 9, 2010 846 253 Apr 4, 2012 #4 nashindwa kuamini ninachokiona. Binadamu....MUngu ametuumba wazuri tuuuuuuuuu but umaarufu wakati mwingine unachangia kutuharibu sura, afya na tabia
nashindwa kuamini ninachokiona. Binadamu....MUngu ametuumba wazuri tuuuuuuuuu but umaarufu wakati mwingine unachangia kutuharibu sura, afya na tabia