Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

Mkuu hapo pana nitesa sana,kibongobongo ukimwambia mtu DEITA anakuona kama unatia swaga vile,
Kweli kabisa, sku 1 tuko kwenye lecture ilikua research methodology, lecturer si akasema deita badala ya data watu walivo zoea, acha watu wagune bhana, nkaanza kushangaa wanaguna nn akat lecturer yupo sahihi
 
Ukiwa Mamrekani Schedule unatamka Skedul na ukiwa Mwingereza Shedul.
Hata Mimi nlkuwa najua ni shedu.... Jamaa akatia udambwi udwambi wingine.... Pronunciation ni sheedah kwa sisi watu wa 2nd language
 
Information not Informations(We dont have Informations)
Experts not expartiriets( We dont have expartiriets)
Mkuu Madesa yako yana changanya.
1 Experts = people with special skills.
2. Expertise = abilities
3. Expertriate = deported /displaced person. (hii haifananii kabisa weka Mbali)

Eg. 1. We need experts to run this industry.
2. We need people with diverse expertise to run this industry.
 
Mkuu Madesa yako yana changanya.
1 Experts = people with special skills.
2. Expertise = abilities
3. Expertriate = deported /displaced person. (hii haifananii kabisa weka Mbali)

Eg. 1. We need experts to run this industry.
2. We need people with diverse expertise to run this industry.


Watu huwa wanatumia haya maneno kama yana maana moja ,ndio maana nikaweka hapo juu.
 
Hajakosea maneno yote yenye asili ya Latin ktk kingereza yana "Latinate consonants"ambaz hazin saut/hazitamkw kipind cha sound articulation, mfano,
Debt= det(b-haitamkw)
Recept =resit(p-haitamkw)
Japo umeandika kifesibuku ila umeeleweka
 
Back
Top Bottom