JIFUNZE ki-nyiramba.

Mtajileta wenyewe uwanjani, kwa kuanzia tushawajua wanyiramba ni akina nani humu,haya na nyie wenzangu wa makabila yetu tunajitambulishaje ukumbini jamani wenzetu washajitambua kimtindo wao...
 
Yaani we Jaluo_Nyeupe umenifanya nicheke kweli jirani, mana user name yako mie nlidhani ni Jaluo au unatokea kanda ya ziwa kumbe ni Nyiramba gete gete.. hahahahah

usijali nitazidi kukuchekesha wakianzisha thread za wairaqw, wahehe na wajaluo....hivi mimi ni kabila gani vilee?
 
Nyie Wanyiramba vipi?

Mmeandika TUJIFUNZE Kilugha chenu na watu tunaingia kusoma tunakuta kumbe watu wameamua KUONGEA Kikwao?

Au hamkusoma heading? Acheni tujifunze Kinyiramba maana wakati napita kwenda kwetu Tabora, sintapata shida kabisa kuongea na Vimwana vya Kinyiramba hapo Singida.

Bahati mbaya sana sijawahi kuwa karibu na Wanyiramba. Nimekuwa karibu sana na Wanyaturu hadi mwenyewe nashindwa kuelewa WHY? Wanyaturu ni HARD WORKER sana na wako OPEN. Nyie jamaa zao mna kama Ka-UHAYA fulani hivi: Nshomile sana, much know sana, Very rich sana, Smart sana ...................... Siwezi kuwatania kwa sababu Nyie na mie HATUNA UTANI. Vinginevyo hapa JF leo mngenikimbia.

Ila nikubali kuwa Kinyiramba na KiPARE kina maneno kama KIINGEREZA vile. Wanyakyusa wao wame-COPY na ku-PASTE English.
 
wanyaturu wanatujua sana sisi.kwani ndo tuliyowapa ujanja pili lazima wawe hard worker sisi ni maboc wao.kama wanabisha waambie watie neno hapa.unajua hii post wanyaturu wamefungua 50 walio coment 0? Why kwann?karibu singapore lakini usijidanganye kwamba utawapata vimwana wa singida kwa wepesi namna hiyo.
 
kichwa cha shoka la machinjioni baada ya kazi na chenyewe kinapikwa mchuzi wake sasa{msuli wa mpopo} tunakula na ugali,
kutana na mnyiramba origino naamini iramba nkulu tanzania nino{iramba ni kubwa kuliko tanzania nzima}
 
Back
Top Bottom