Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,839
- 93,626
Hakuna lolote ni udini unamsumbua tuRais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika, mapokezi mabovu na kuonekana kama Rais anazurura ni matokeo hafifu ya utendaji kazi wa Waziri huyo.
Imagine unaenda nchi za watu kama Rais wa Taifa fulani halafu wanazengo wa kule kuanzia mkuu wao wa nchi mpaka raia wa kawaida hata hawahisi kama kuna ugeni fulani, kuna wakati msafara wako unakuwa cornerd kwenye traffic jam kama raia wa kawaida.
Wakati mwingine viongozi wa nchi husika wanashangazwa na ujio wa kiongozi huyu wa bongo, kanakwamba hakukuwa na taarifa ya kueleweka kuhusu ujio wa huyu kiongozi.
Anyway mambo ni mengi muda ni mchache