Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

khaa ...................sawa babu tumekusikia Namshukuru Mungu.

Chauro Mpenzi......... Sijasema wote ila karibu wote. Ngoja niweke kimahesabu. Ailimia 99 ya wanaume wanacheat! Nimesema ngapi? Yes 99%!!!! Nlitaka niseme 98 lakini hapana ili niwe precise ni 99%. Kama wa kwako kaangukia kwenye hiyo moja basi mshukuru sana Mungu.

Na kuna kautafiti ambako bado hakajakamilika kameonyesha kuwa ndoa ambayo mwanaume hacheat basi ujue mkewe anacheat.........
Msinishambulie jamani, ila ni kautafiti tu!
 
Sijisikii raha kumwona shem wangu amekasirika namna hii.......... ngoja nisepe.

Lakini nyie kina mama hamjisikii raha tunavyowaambieni huu ukweli ili mjue hali halisi na mjue jinsi ya kupambana? Mnataka tuwadanganye ili mjipe moyo kumbe tunafanya mambo kama kawa?

Shem hebu niambie ukweli, unaamini kuwa wanawake wote wa JF si nyumba ndogo za watu au hawana vidumu vyao? Lakini kuna hata mmoja wao anayethubutu kukubali hadharani kama tunavyosema sisi?........... Na nikuulize unadhani wanaume wanavyotoka nje ya ndoa wanaenda kufanya na mbuzi, kuku au kondoo? si tunafanya na nyie wanawake? Sasa tunavyosema haiepukiki hatumaanishi kwa upande mmoja wa wanaume kwa kuwa hizi cheatings tunafanya na nyie wanawake..........

Kama mko kwenye mpango wa kuipinga hii kitu, basi tukiwatongoza kataeni ili tuwabake mkashtaki. Lakini mnapoupinga huu muktadha wakati tukiwatongoza mnakubali wakati mnajua tuna wake zetu.........hivi vita mnavipigana na nani?

Baada ya kusema hayo narudia tena kauli yangu kuwa Nyumba Ndogo haziepukiki!

Shemu hii post hapo juu aidher umenisoma vibaya ama tu hutaki kunielewa.... Read between the lines.... Please do.. Sasa sababu i have said that already naomba niongezee kua ni wazi hili jambo lipo wazi... ni wazi kua wanaume wengi wanatoka nje... Hivi kuna haja ya majigambo?? Kuna haja ya ku-promote?? Kuna haja ya kuongelea so enthusiastically?? Siamini kua jibu ni NDIO....

The way huwa mna deliver message it is as if kutokomoa or kutuambia indirectly "yes tunafanya mkitaka mkajinyonge!" Kwanini msitupe heshima mama, dada, wake na watoto zenu kwamba hata kama mnafanya msitubraggie huo upuzi... Au hamjui kua mnatufinyanga roho zetu... Kwanza kwa kutoka NA pili kwa kujigamba kana kwamba sie ni wapuuzi ambao tumeoana nanyie...

Unaposema wanawake wakatae... is there a woman who wants to be lonely?? Umesahau kua wanawake wengi wenye umri ambao inatakiwa waolewe tayari age ya wanaume wa kuwaoa - wameshaoa?? Na pale mnapoenda kurubuni vibinti vidogo hamuona hata haibu kuwavulia Boxers watoto wenu - ndo mjisifu kwa hayo?? Darling shem what are you saying... yaani sikupati kabisa! (na off corse Nyumba ndogo inaepukika kabisa... ila infidelity ndio haiepukiki)
 
Hawa watu (mademu) ni viumbe wa ajabu sana! Nilichokipata kwenye thread ya Boss ni kwamba wengi wao walikuwa wanakubali kuwa uzinifu wa waume zao haukwepeki na kwa vile haukwepeki basi ni bora kama hao wanaume zao wakifanya wafanye bila wao kujua.

Kuna kadhaa ambao walisema eti ni bora 'wachitiwe kiheshima'. Wengine wakakiri kabisa kuwa ni bora waume zao wachiti na mademu wakali zaidi yao kwani wakichiti na mademu wabovu moto utakuwa maradufu! Haya ndo yalikuwa maoni yao kwa uwingi na ujumla wake hadi kunipelekea mimi kutamka kuwa "I am royally amazed"

Haya sasa eti leo wako up in arms kupinga. Hahahahahaaa....talk about confused peope then look no further than these people. It's nauseating.
 
Atleast ikijengwa kuwa ni "BAD TABOO" na kueleweka hivyo, kila mtu atafanya kwa uoga huku nafsi ikimkana na atakuwa anapambana kuacha!
Ila hii tu kuiita eti ni "nature" hahahaha yaani ni uhalalisho wa haki kabisa....
Hapana nyumba ndogo si nature wajemeni... inakua sababu zake ni nyingi sana primarily WANAWAKE wa kisasa mnabeba sana lawama na harakati zenu hizi za "haki sawa"
Binafsi nina mfano wa familia yangu, jamaa inaaminika kwa 98% hana nyumba ndogo na haikumbukwi kama kabla ya kuoa kama alikuwa na mahusiano.... Na ameoa mke mkorofi na jamaa ni anaepesa atiii ila wala hamna cha nyumba ndogo... ni yeye mungu wake na familia yake!

JG kabla sijajibu hii post... naomba niambie "Infidelity" na "Ushoga" ipi ni more of a taboo?? Umeona lakin inavokua kwa kasi hii hali ya ushoga mpaka inasikitisha?? Do you really believe kua ikijulikana ni taboo ndo watu wataelewa na kuacha??
 
Hawa watu (mademu) ni viumbe wa ajabu sana! Nilichokipata kwenye thread ya Boss ni kwamba wengi wao walikuwa wanakubali kuwa uzinifu wa waume zao haukwepeki na kwa vile haukwepeki basi ni bora kama hao wanaume zao wakifanya wafanye bila wao kujua.

Kuna kadhaa ambao walisema eti ni bora 'wachitiwe kiheshima'. Wengine wakakiri kabisa kuwa ni bora waume zao wachiti na mademu wakali zaidi yao kwani wakichiti na mademu wabovu moto utakuwa maradufu! Haya ndo yalikuwa maoni yao kwa uwingi na ujumla wake hadi kunipelekea mimi kutamka kuwa "I am royally amazed"

Haya sasa eti leo wako up in arms kupinga. Hahahahahaaa....talk about confused peope then look no further than these people. It's nauseating.
Arifu nimecheka kweli umenifanya niende kusoma tena thread ya The Boss anyways commentsza wadada nilizoona huko na jinsi walivyo-comment ngoja nikae kimya tu maana watu wanaweza kutoa sababu.
 
READ the posts below Ngabu and between the lines and say that these ladies have different views from last time walipochangia kwa Boss... Nafikiri nyie guys are just being THICK and don't want to listen to what we are saying...

Nyumba ndogo,nyumba ndogo, kila day yaani watu wanalia. Enyi kina babu kwa nini msiache hii maneno jameni?

kweli hii tabia iachwe kama sio kupunguzwa, watu wanapenda kuhalalisha hili kwa ku quote history maybe ya vitabu vya dini, kuna vitu vingi sana tumevirekebisha kuendana na wakati, zamani wazee walikuwa wanavaa ngozi tu, wanawake wanatembea matiti wazi, ila haya yote yamerekebishwa kuendana na wakati, sasa hivi dunia imeharibika, maradhi ni mengi, kuwa na nyumba ndogo ni kumuhalalisha kama mtu wako wa pembeni, ila wanaume wanajua wanayoyafanya hao nyumba ndogo wao wakirudi kulala kwa nyumba zao kubwa?

Hakuna mwanamke ambae hataki kulala usiku mzima kakumbatiwa na ampendaye so ukiondoka anaingia kijana single amaye anampenda kwa dhati analala naye mpaka asubuhi jamaa anaondoka, tunayaona sana haya mitaani mwetu, pia ukiwa na nyumba ndogo ni rahisi sana kuacha kutumia condom sababu umemwaminia sana,hapo sasa ndipo unapojiteketeza

Mimi ndio maana philosophy yangu ni ku fight by all means. Watu wanapinga hii philosophy wakisema eti si akili.

Lakini nadhani ni akili kuliko kuwa kimada au kuwa na kimada

Sioni noma ku act like crazy when it comes to my husband. Na kuna waliokwisha onja joto ya jiwe.

babu unataka kutuambia hamna wanaume ambao hawacheat mi sikubaliani na wewe hata kidogo
 
Arifu nimecheka kweli umenifanya niende kusoma tena thread ya The Boss anyways commentsza wadada nilizoona huko na jinsi walivyo-comment ngoja nikae kimya tu maana watu wanaweza kutoa sababu.

My man...si umeona hata wewe jinsi wasivyojielewa hawa watu? These people are weaker in every aspect of life and they deserve every shit that goes/ comes their way.

Mimi niliwatetea hadi Boss akanambia eti maboksi yameniharibu...teh teh teh.
 
mke na mume wanapo kuwa wameoana wanakuwa mwili mmoja je huyo nyumba ndogo inakuaje mwili unagawanywa mara mbili alafu mbona mnataka kuhalalisha ushetwain jmn hamuoni kama mnampa kichwa ibilisi? ndoa na iheshimiwe jmn
 
My man...si umeona hata wewe jinsi wasivyojielewa hawa watu? These people are weaker in every aspect of life and they deserve every shit that goes/ comes their way.

Mimi niliwatetea hadi Boss akanambia eti maboksi yameniharibu...teh teh teh.

With all due respect.... Don't.... Please don't!
 
READ the posts below Ngabu and between the lines and say that these ladies have different views from last time walipochangia kwa Boss... Nafikiri nyie guys are just being THICK and don't want to listen to what we are saying...

Y'all are full of contradictions. Some of those you've quoted are the ones who were directly or indirectly proponents of 'dignified cheating'...whatever the fcuk that is.

Women are pathetic...point blank...period!!!!!!!
 
my man...si umeona hata wewe jinsi wasivyojielewa hawa watu? these people are weaker in every aspect of life and they deserve every shit that goes/ comes their way.

Mimi niliwatetea hadi boss akanambia eti maboksi yameniharibu...teh teh teh.
kina nani hao sijaelewa hapo?
 
With all due respect.... Don't.... Please don't!

Don't what? Mincing words is not my shtick. I just call it as I see it. If you disagree with me then go back and revisit Boss' thread and if you are a fair minded person you'll understand what I'm talking about.

Y'all are just pitiful.
 
Y'all are full of contradictions. Some of those you've quoted are the ones who were directly or indirectly proponents of 'dignified cheating'...whatever the fcuk that is.

Women are pathetic...point blank...period!!!!!!!

With you in this attitude I know point blank that i won't get anywhere... And of course i do know i am full of contradictions... (Which answers that in blue)
 
Don't what? Mincing words is not my shtick. I just call it as I see it. If you disagree with me then go back and revisit Boss' thread and if you are a fair minded person you'll understand what I'm talking about.

Y'all are just pitiful.

Gosh!! I know you never Mince words and that is why in issues which requires serious answers i am interested in what you utter... Kwamba I am Pitiful... Well you could say so... (as you are allowed to have your point of view).... BUT Good thing is that i think the same thing.... Well back to Topic I said "DON'T" in the sense that as much as what you have uttered has truth in it you don't have to generalize and make a Monkey out of all species in that group just because some (who not more than ten members-na tupo more than that) walitoa opinions zao which in fact was true!!
 
afu ww kibabu ww! suala sio kuoa mke wa pili,kama kuna uhitaji hilo laweza kujadiliwa. na kuna watu wamewahi kuwaruhusu waume zao kuoa mke wa pili. uzinzi unaepukika ndo maana hata bible imeukataza,full stop. hapa tutapambana hadi kieleweke,trust me hii ligi ndo imepelekea wanawake wa siku hizi kutoka nje ya ndoa. muelewe maana ya mkataba,kama mtu alikua anajua kuna possibility ya kuwa na mke mwenza she will honor the contract nevertheless!
Shem waweza mruhusu hommie aoe mke wa pili?
 
Back
Top Bottom