Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Nyumbani kwangu i am the law,nitatoka saa nnataka,nitaingia saa nnataka,what i do in between is my business.You live only once bana. Na huyo mwanamke atakayetaka kushindana na mimi kwanza huo ubavu ataupata wapi,subutu yake........We unalala pazuri,unakula vizuri,i gave a nice car,watoto nawalipia shule nzuri,wazazi wako nawahudumia kama wa kwangu,saluni unakwenda ya Sea cliff sasa kelele ya nini? Tell me why the longolongo????

Kwa self defense hii! You are wrong!!! Very very very very very very very very very wrong And it's just because you are materialist u can't think out of it.
 
Kuna watu wengi tunao wajua na tusio wajua hawana nyumba ndogo. Na hata kama mtu anae, ushauri wa kumpa ni namna gani anaweza kuachana na tabia hiyo.
Hivi unadhani ushauri wa the boss unasaidia nini zaidi ya kukupa confidence ya kufanya ujinga? The Boss kasema as if mwanaume yuko in charge, in control of the situation ila ukitazama katika maisha ya kila siku hana control yoyote. anafanya maamuzi kutokana na influence ya wanawake hao, na vitu vingine vingi ambavyo hawezi control.

Usemavyo ni Sawia 100%.
Maana ndilo jukumu la msingi la taasisi za kijamii yakiwamo makanisa na misikiti kuhubiri ama kutoa mhadhara elimishi ili watu waushinde ufedhuli huu.

Hali ilivyo sasa baadhi ya viongozi wa makanisa na misikiti badala ya kukemea maovu haya, wanayatetea .

Mbaya zaidi wanawapa tuzo wanaume na wanawake wenye kuishi ufedhuli huu.

Hivyo basi mkuu Roulette usichoke kutoa darsa hili mujarabu hapa JF .

Wakatabahu .
 
Ukweli ni huu, japo unauma lakini ndio ukweli wenyewe.

Tangu kuumbwa kwa dunia hii.......... hakuna kiumbe chochote cha kiume kilichoumbwa kwa ajili ya kiumbe kimoja tu cha kike......!

Mitume na manabii karibu wote katika vitabu vyote walimiliki si chini ya mke mmoja........ Si ajabu tunaona wanawake wako radhi kuolewa mitala....Laiti wanawake mngekubaliana na hili la kuturuhusu tuoe zaidi ya mke mmoja, labda ndo lingekuwa suluhisho la kuisha hili tatizo. lakini kwakuwa hamtaki, na siye hatujaumbwa kwa ajili ya mke mmoja...........hamna jinsi lazima nyumba ndogo ziendelee ku-ezist.

Nyie kinamama hamuyaoni hata majogoo mitaani kwenu? Khaa!...........wanaume hawariziki na kikojoleo kimoja, mbona hampendi kutuelewa!
Duuuu!! Babuuuu!!! Kwa njiwa ikojeee???? Ila kuna bibi wa Rukwa kama nakumbuka vyema alichallenge mfumo huo!! Masikini bibi yule alifanya kwa kuchelewa (because she is no more..). Ila ameonyesha njia kwa dada zetu kama watakuwa tayari kuchallenge wale wote wenye mawazo kama yako babu aspirin.
I think walimaanisha RussianRoulette, ambae mimi napinga sana.
 
Back
Top Bottom