Jhpiego kiini macho cha ajira

Ajira kwa sasa full magumash. Hao jamaa hata mie nimeomba mara kadhaa na zote nnakuwa na the required qualification both, za darasanai na "uzoefu". Mara zote nimejikuta naambulia manyoya. Kali zaidi, hivi karibuni walitangaza post fulani morogoro, yaani hata deadline ya application haijakamilika nikaambiwa tayari kuna mtu karipoti ofisini. Ndipo nikaambiwa kuna ka ukabila kakutisha pale,,,full Ugweno guys.
 
JHPIEGO hawana majungu....ukiwa na qualifications kazi ni kwako kwenye interview. People you have to be smart. Dont keep on blaming things which you make up from your minds....All the best anyway
 
Pole sana, ila check vigezo na masharti ya ku-apply, sifanyi kazi Jhpiego ila najua waombaji wengi kuna kitu kinaitwa salary history wanasahau kuandika. Halafu pia kuna ishu ya ku select project ya kuomba na location, wengi mnaomba zile zenye competition kubwa na mnataka mkae mjini. Suala la upendeleo sina hakika, kuna watu nawafahamu kabisa hawana mpambe lakini wameitwa kwa interview. Katika NGO zenye HR walio stable na wacha Mungu ninazo zifahamu Jhpiego ni mojawapo!!

Halafu naona wengi wamecomment kwa mazoea, but the truth is on the other side of the river!!
Kweli Mkuu, mm ni kati ya watu ambao niliomba kazi pale, na sina ninaemjua na nikaitwa interview, we were 8, na nilikuwa among the finalists. Nasubiri majibu. Swala la wana watu wao sidhani sana.
 
mavuvuzela. Ujue watanzania imefikia kipind sasa watu wanajijali wao na wafamilia zao tu wengine wafie mbali, uzalendo na utu hamna. Acha kukutetea maovu, kukumbukeni msipokemea kwa kuwa nyie mnanufaika, watoto wenv watakuja kuumia na mfumo uliooza. Watu wanalaumu jhpiego kwa kuwa wamefanyawa uhuni. Mbona hawajasema kungine?
 
mimi nilisha tuma application kwao mara 4 na nina vigezo na hata mara moja sikuwahi kuitwa kwenye usaili, Ni wasumbufu sana, ivi kwa nini watoe tangazo wakati tayari wanao watu wa kuwafanyia kazi? hii inaudhi sana.
Tafuta kazi sehemu nyingine kijana, chukulia hiyo kama challenge... acha kulalama ni kweli hawo jamaa hawafai, lakini hawajakukata mikono...aaaahhh
 
Kweli Mkuu, mm ni kati ya watu ambao niliomba kazi pale, na sina ninaemjua na nikaitwa interview, we were 8, na nilikuwa among the finalists. Nasubiri majibu. Swala la wana watu wao sidhani sana.

God bless you kwa kujitokeza hadharani kutoa evidence!! Karibu, simpendi mtu, simchukii mtu, naamini kweli itaniweka huru, ninayoamani kupingana na watu makumi kwa mamia ikiwa kinachielezwa si cha kweli!
 
wayasema hayo kwa kuwa wewe ummoja wao. Unadhihirisha usemi wa aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Mnapopeana nafasi nnafikira jamii hatawajua, lakin tumewajua, kwa hao mnaowapendelea wengine ni best friend wetu, hivyo hutuambia.
 
Kwa Tanzania tatizo hilo halitokwisha hadi kizazi kilichopo kadarakani kitoweshwe,
 
wayasema hayo kwa kuwa wewe ummoja wao. Unadhihirisha usemi wa aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Mnapopeana nafasi nnafikira jamii hatawajua, lakin tumewajua, kwa hao mnaowapendelea wengine ni best friend wetu, hivyo hutuambia.

Hahahahahahaah!

Pole, kwa kufikiri wote ni lazima wabebwe, ni kwanini hutaki kukubali kuwa kuna wengine walokuwa na sifa stahiki zaidi yako? Na ambao wanapata hizo nafasi bila upendeleo? Nafasi ni chache, waombaji ni wengi, usikate tamaa, ikitangazwa tena omba, ila kumbuka ku-update CV yako na ujuzi! Nakumbuka hayo malalamishi yenu kuna msomi mmoja aliitwa kwa interview akaanza kulia baada ya kuona maswali yanamlemea, tena tumesoma chuo kimoja, hebu fikiri hapo HR anahaja ya kupendelea?

sifa ya Msomi si kulalamika, angalia areas za weakness zako na uzifanyie kazi, then jaribu tena next time!!

Nitaku PM, ila tusilumbane, nitakupa facts, kama hutaridhika basi

Jhpiego sina ndugu wala rafiki, sijawahifanya kazi huko, ila nina ABC za kutosha ambazo wasomi wetu wengi ni wavivu kuzifanyia kazi.
 
mavuvuzela. Ujue watanzania imefikia kipind sasa watu wanajijali wao na wafamilia zao tu wengine wafie mbali, uzalendo na utu hamna. Acha kukutetea maovu, kukumbukeni msipokemea kwa kuwa nyie mnanufaika, watoto wenv watakuja kuumia na mfumo uliooza. Watu wanalaumu jhpiego kwa kuwa wamefanyawa uhuni. Mbona hawajasema kungine?
usiwe biased mkuu, sio sababu umekosa opportunity unapondea kila kitu, Kapotolo kaweka wazi, amepata kazi na hakuhonga wala kumjua yeyote Jhpiego, kwa nini usichukue efforts za kujua siri ya mafanikio yake! Halafu jaribu kuchek na wanaofanya kazi huko, wapo ambao umesoma nao na hawana mbuyu kama unavyotangaza, hao nao tufanyeje? Kazi zipo nyingi, shida wenye sifa nao ni wengi, ushauri tafuta sehemu nyingine ambayo utapata kirahisi!
 
sina haja ya kupewa ushauri na mtu bwe.ge ka wewe, ambao unawaza mtu akikemea jambo lazma liwe ni kwa ajili yake. Watu kama wewe ni vibaraka tu ambao hawana uhuru wa mawazo. Upewa kikazi hapo jhpiego ndo maana unatokwa na mapovu. Jifunze kufikiria kwa mapana na zaidi ya wewe na familia yako. Kikaragosi
 
Asante, matusi si jadi yangu!
 
Hakuna cha salary history hawa jamaa wa Jhpiego ni watata sana wanawazingua watu wala hawana haja ya kuajiri bali wanatimiza tu kanuni za ajira ila kiukweli wanakuwa tayari wana watu wao mkuu. Undugu na ukabila ni vigezo vikubwa pale.:bange:
 
interview zao zipo vipi viongozi? wameniita jtano. sikumbuki hata post niliyoapply.
 
mimi nilisha tuma application kwao mara 4 na nina vigezo na hata mara moja sikuwahi kuitwa kwenye usaili, Ni wasumbufu sana, ivi kwa nini watoe tangazo wakati tayari wanao watu wa kuwafanyia kazi? hii inaudhi sana.

that's not true. i know nobody na wameniita kwenye interview. too bad nshasahau hata niliomna post gani na sijui wanajihusisha na nini. lol
 
nimefanya interview pale na sijawah kuona interview simple kama ile aisee lkn niliambiwa tutakupigia cm cha ajabu mpaka leo kimya
 
ni very eazy mi week 3 zilizopita nilifanya interview lkn kiukwel ni rahic sana inategemea umeomba post gan mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom