Junana Wilson
Member
- Mar 22, 2016
- 5
- 5
Kuna shirika linajiita jhpiego sijawahi kuona wameita watu kwenye usahili lakini hata siku moja huwezi kosa tangazo lao,jamani kuweni serious.
I hate that thing.
I hate that thing.
Umestaharabika Hongera.Hao nao ni jipu.... Ndo walivo
Hawaitagi ..na uyo watakuwa walijichanganya ..nina watu zaidi ya 6 hawajawahi kuitwa na mm wa 7hua wanaita interview bana,,ila kuna rafik angu alienda interview hajawah kuitwa na akiwauliza wale aliokua nao kwenye interview amna ata mmoja ameitwa haha mwez wa 2 unaendea wa3 saiz
Ukibahatika kupata Kaz hapoKuna shirika linajiita jhpiego sijawahi kuona wameita watu kwenye usahili lakini hata siku moja huwezi kosa tangazo lao,jamani kuweni serious.
I hate that thing.
Hawana vigezoHawaitagi ..na uyo watakuwa walijichanganya ..nina watu zaidi ya 6 hawajawahi kuitwa na mm wa 7
staharabika =staarabikaUmestaharabika Hongera.
hata mm nimeapply siku nyingi sijawahi sikia wanaita, bt kuna mtu namjua aliajiliwa paleKuna shirika linajiita jhpiego sijawahi kuona wameita watu kwenye usahili lakini hata siku moja huwezi kosa tangazo lao,jamani kuweni serious.
I hate that thing.
pia plan internationalKuna shirika linajiita jhpiego sijawahi kuona wameita watu kwenye usahili lakini hata siku moja huwezi kosa tangazo lao,jamani kuweni serious.
I hate that thing.
hua wanaita interview bana,,ila kuna rafik angu alienda interview hajawah kuitwa na akiwauliza wale aliokua nao kwenye interview amna ata mmoja ameitwa haha mwez wa 2 unaendea wa3 saiz
Kuna shirika linajiita jhpiego sijawahi kuona wameita watu kwenye usahili lakini hata siku moja huwezi kosa tangazo lao,jamani kuweni serious.
I hate that thing.
Hamkuwa hata na sifa za kuitwa kwenye interview. Bado unatafuta kuajiriwa? Wenzako wanajiajiriHawaitagi ..na uyo watakuwa walijichanganya ..nina watu zaidi ya 6 hawajawahi kuitwa na mm wa 7
provision of health services to the communitieswanajishugulisha na nini?