JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

Mwe siwezi kumvuruga huby wangu even single day,nampenda ad nachanganyikiwa.
 
3. Lady doctor ana ujauzito wa miezi miwili... mtafaruku mkali waibuka juu ya ujauzito wake, kwani ana miezi minne hajakutana na mumewe Arushaone. Mwenye mimba anasakwa kwa udi na uvumba.
Lady doctor nina wasiwasi na member mmoja anajiita Filipo. Cc: Arushaone

4. Baba V arudi kijijini, inasemekana mjini pamemshinda. fitna za kina kahtaan & co. zinahusika.

Na sasa yupo studio akifanya remix wimbo wa NAKOMAA NA JIJI wa msanii Shilole.

6. Mentor afilisika, aonekana akigombania daladala!
inasemekana kuna mdada kammaliza!!

I think unanifananisha na Money Stunna Cc: shem badiebey

Ushajibiwa... thanks mai waifu mwallu. #SINAGA-MICHEPUKO

7. Erickb52 kapotea nyumbani kwao, siku ya 8 sasat
na kumwachia Chocs majukumu mazito ya kulea.
Mara ya mwisho alionekana Tengeru, na inasemekana kafichwa huko. black woman is suspected here.

I think the real culprit is Munkari. Meanwhile Vin Diesel yu safarini kuelekea Arusha, kuziba pengo lililoachwa (talk of #fursa )

10. kiwatengu ashindwa kulipa mahari.
mkewe shansarie ahaha kuinusuru aibu, pesa ya VIKOBA yatumika..wakimbia mtwara baada ya mrejesho kukwama..

Huyu pia inasemekana alikuwa anapeleka posa kwa wachumba wawili kwa mpigo.

12. Heaven on Earth kujifungua hivi karibuni, vidume tofauti vyapishana kupeleka viwalo vya mtoto kijacho.
Baba halisi wa kijacho bado ni utata mtupu..
kuna uwezekano akawa menber wa #teambazaz ..
CC: Kaizer, angelious KOKUTONA Eli79
Nicas Mtei...kana mimba hii nikuumbue.

Mentor hajafilisika

Senkyu...!!!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha!!! uran umenifurahisha sana kweli huu udaku special, nampa pole miss neddy kumbe hakujua mmewe Excel ni TEAMbazaz? ndo mana me nilishindwana naye kwa sababu hiyo ila usijali mamy utazoea tu....we mine Daudi1 na Kibo10 ndo nini kufichua siri ya mwenzenu mtaja sababisha watu wafe bure, kwanza mmejuaje au nyie ndo wale wale?????
 
hahahahahahaha pole ya kinafki siitaki
 
Last edited by a moderator:
hahahaha hivi Urani unajua historia yangu na king wewe me mwenyewe nilimuibaga siwezi kuzimia kirahisi hivyo najua jasiri haachi asili
 
Last edited by a moderator:
hahahaha hivi Urani unajua historia yangu na king wewe me mwenyewe nilimuibaga siwezi kuzimia kirahisi hivyo najua jasiri haachi asili

ile stroke ulioipata ilitoka wapi?
 
Last edited by a moderator:
no 11, pacha wangu Excel mbona tuko nae siku zote ,@!Miss neddy ameapa atambadilisha moja ya masharti wakati anamchumbia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom