JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,517
10,753
Habari zenu wadau!!

Nitoe udaku kidogo, baada ya wahusika wakuu
Baba V na TANMO kuishiwa habari.
This is udaku special edition!!

1. Bishanga atoweka Jf baada ya kuoteshwa kitu kibaya, ni katika fumanizi na mke wa mpemba mmoja.

2. Karucee apigwa chini na yule mbeba box..
hali ya mwathiri sana na kuamua kuvamia waume za watu.

3. Lady doctor ana ujauzito wa miezi miwili... mtafaruku mkali waibuka juu ya ujauzito wake, kwani ana miezi minne hajakutana na mumewe Arushaone. Mwenye mimba anasakwa kwa udi na uvumba.

4. Baba V arudi kijijini, inasemekana mjini pamemshinda. fitna za kina kahtaan & co. zinahusika.

5. Rich Pol akamatwa sokomatola guest house akivunja amri ya sita na charty..kumbe ni mke wa mtu. kidogo akatwe kikojoleo.

6. Mentor afilisika, aonekana akigombania daladala!
inasemekana kuna mdada kammaliza!!

7. Erickb52 kapotea nyumbani kwao, siku ya 8 sasat
na kumwachia Chocs majukumu mazito ya kulea.
Mara ya mwisho alionekana Tengeru, na inasemekana kafichwa huko. black woman is suspected here.

8. Teambazaz yaendelea kumtesa ladyfurahia.
Kiongozi wao Asprin ajitangaza rasmi.
members wote wawa verified.. mwekundu ndani!!!

9. Ndoa ya Mwanyasi na janeth1 utata mtupu..
inasemekana Mwanyasi alimtambulisha mchumba wake kwa wazazi feki.
-kumbe na janeth anamtoto mkubwa tu wa darasa la 4..mwenyewe akana na kudai mtoto ni wa dada ake.

10. kiwatengu ashindwa kulipa mahari.
mkewe shansarie ahaha kuinusuru aibu, pesa ya VIKOBA yatumika..wakimbia mtwara baada ya mrejesho kukwama..

11. Imegundulika Excel nae ni #teambazaz ...mkewe miss neddy azirai kwa saa kadhaa baada ya kuujua ukweli..
daud1 na Kibo10 ndiyo waliotoboa siri.
Kesi iko kwa baba paroko..

12. Heaven on Earth kujifungua hivi karibuni, vidume tofauti vyapishana kupeleka viwalo vya mtoto kijacho.
Baba halisi wa kijacho bado ni utata mtupu..
kuna uwezekano akawa menber wa #teambazaz ..

CC: Kaizer, angelious KOKUTONA Eli79
 
Last edited by a moderator:
udaku usipoku na kaukwel ndan yake haunogi. My sweet njoo umsikilize mwenzio uku anachosema..
 
hahahaaaaaaaa uran umenichekesha sana lol..........ngoja nicheke kwanzaaaaaa

baba kijacho hajulikani lol
 
Last edited by a moderator:
uran yaani umemaliza kazi
Hongera sana;

Ila umeposti hii uzi mara mbili futa moja.
 
Last edited by a moderator:
Mwache tu my husband uyu atakua kavurugwa na baby wake kaja kumalza hasra zake uku, bado kdogo atasema na yake. Na 2le raha ya watu walaaa hatuyaskii..

hivi hali ishakuwa nzuri?
 
mi mwenyewe napenda mfurahi..
yule mtoto kweli sio wako?

basi kama una2takia heri.. Mtoto wa dada kwel hata mme wangu anajua mbona we muulze eti S..a...r.. Mtoto wa nan atakuambia..
 
Back
Top Bottom