JF okoa Jahazi hili

Mbwiga88

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
642
142
Wadau wa JF naomba mnisaidie kuna binti nampenda nae naamini ananipenda pia nifanyaje kumpata though najaribu sipati signal bt i knw she loves me......nifanyaje hasa wadada nahtaj mawazo yenu na wakaka mnahusika
 
sa si umwambie.....khaaa....mwambie akikubali nitakuja kukusaidia kushikilia nani......
 
Ni PM number yake nikusaidie nikifanikiwa ntakujulisha kua mi TAYARI ikiwezekana naweka ndani 2020.
 
Eti na yeye ananipenda, binadamu ni kitabu kisichosomeka. Mtongoze ndiyo utajua kama anakutaka. Watu siku hizi hawapendani kimapenzi bali wanatakana/tamaniana kimapenzi.
 
Eti na yeye anakupenda?? Unausemea moyo angekupenda si angeshakubali.....................domo zege nini dogo
 
Duh miaka 20 ushaanza kukimbilia chupi kwa kasi mapaka unaomba msaada, kijana au mwanamme hasifiwi idadi ya wasichana bali anasifiwa elimu alokuanayo,sasa ebu zidi kusoma hao wasichana watakufata wenyewe pindi utakapokua na elimu yako yakutosha,kumbuka taifa linakutegemea usijimalize nguvu mapema...
 
Wadau wa JF naomba mnisaidie kuna binti nampenda nae naamini ananipenda pia nifanyaje kumpata though najaribu sipati signal bt i knw she loves me......nifanyaje hasa wadada nahtaj mawazo yenu na wakaka mnahusika

kazi buti mpaka atoa jibu la kukubali au kukataa! Maana inawezekana anakupa positive signals kwa kukuonea aibu au ni kweli kuwa anakupenda. Hivyo endelea tu mpaka jibu litoke. Ili usichanganyikiwe hapo baadaye na kurudi tena jukwaani tukushauri, jiweke tayari kupokea jibu lolote, zuri au baya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom