Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

kuna member nilikua nawapenda sana siku lkn siku hizi siwaoni,na walionesha sana kuipenda sana JF ndo nikapata mawazo kuwa huwenda wako kama mm na labda wamefariki hivyo hakuna wakutujulisha.Kwa kweli kuna member humu nawapenda sana kwa michao na picha niliyojijengea juu yao hivyo japo sijui hata wanafananaje nawezaa kulia nikisia wametutoka.So ni mawazo kama haya ndo yamekua chanzo cha hii thread..

Hapo blue amina.

kina nani hao unaowapenda?
 
PAW akitutoka naamini taarifa zitafika kwenu hakika, na wengine sherehe...

Ama kwa hakika inatia huzuni kubwa kwa wenzetu waliotutangulia mbele za haki. Mungu awapumzishe sehemu salama Amin

JF ni zaidi ya familia.



Pal... I really hope you do not believe that! Kifo ni kitu kingine kabisa.....
 
  • Thanks
Reactions: Paw
The Romantic NDIO mimi ni Muislam thou mume sio sheikh.... Ila naomba kujua "abaya" ndio nini?

Hayo mavazi yako unayovaa daily japo nakuona kichwani tu lakini nahisi ni mpaka chini ...maana hijab haiendi peke yake ati
 
The Romantic NDIO mimi ni Muislam thou mume sio sheikh.... Ila naomba kujua "abaya" ndio nini?

Dah,AshaDii kwa hiyo hata tukikutana bado ntakuwa ni sawa sijakuona tu maana ntaona
macho peke yake then imetoka?
Aisee,itabidi ujifunue uso siku hiyo dadangu at least kwa dakika mbili
 
MTAMBUZI samahani kama nitakua nimekusoma wron' uelekezi wako hapa unaonesha kabisa una kila elements ya mzaha. Sasa kama niko sahihi kwa mpango huo Jf membars mtajuana kweli ?

Hivi huniamini? nakuja mjini kibiashara tu mkuu, lakini makazi ni kule au?
 
Itabidi tufanye get tugeza tukutane lakini still hamna kutajana majina ya huku JF ila watu watajuana kiukweli na it will be better coz watu wata exchange contacts.
 
hakuna haja ya kujuana kwani humu ndani kuna watu wakifa wengine watafanya sherehe.
mimi naona iwe hivi kimyakimya.

mimi nikifa hamtachelewa kujua kwani nina jina la ukweli na picha ya kweli.
 
https://www.jamiiforums.com/members/pakajimmy.html
17th January 2011 12:02

icon1.png
R.I.P mwanaJF!


Viongozi wangu,

Salaam!

Kwa heshima na Taadhima naomba tukumbuke thread hii
HII-HAPA


Nimetaarifiwa na mwan-JF wa hapa Arusha kuwa mnamo tarehe 24/12/2010 member mwenzetu fulani waJF aliyekuwa anajulikana kwa jina la mtaani kama Abuu Mkongo alikuwa anasafiri kutoka Arusha kwenda Same kwao kwaajili ya sikuuu za mwisho wa mwaka, na akapata ajali katika kijiji cha Kileo-Mwanga iliyochukua maisha yake, akiwa kwenye gari no T391 PMG, aina ya Toyota Subaru, ambapo chanzo cha ajali ni kupasuka kwa tairi ya mbele.

Abuu alikuwa ni member active sana wa JF, lakini cha kusikitisha ni kwamba mleta habari(ambaye ndiye aliyemshawishi kujiunga na JF enzi hizo) hakuwahi kujua huyu marehemu alikuwa anatumia ID gani katika mabandiko yake...
sad.gif
(hivyo mabandiko na posts zake zitalala doroo, na hatimaye kupotea kabisa baada ya muda..)

Aidha marehemu huyu alikuwa akifanyia kazi Ofisi ya ITV/Radio One -Arusha, akiwa kama muandaaji picha.

Mungu alilaze pema roho ya marehemu.

ABUU MPIGA PICHA0001[1].JPG
Bila kufanya juhudi za kufahamiana, mambo huwa kama stori ya rafiki yetu Abuu mkongo hapo juu!

 
Dah!huu uzi umenitoa machozi,
Hivi naweza kufa alafu hata humu msijue jaman!
R.I.P Wote mliotangulia mbele ya haki,
Anayetaka kujuana na mm niko tayari napatikana dar.
 
Back
Top Bottom