Jf members mna kesi??

Mh! Kiukweli majina yenu yamekaa ki-gadafi gadafi tu.Hadi mods nao! Teh teh,ILA MSINIPIGE BAN JAMANI.Ni mjadala tu
 
Last edited by a moderator:
aise majina ya humu kweli yamekaa kikomando komandooo vile eti mtu anajiita tamuuuuu au Domenia au Deejay nasmile au utasikia mtu anajiita sijui nini au Kongosho ipo siku tutasikia MODS akijiita Mzizi mkavu au mshana jr siku nyingine utasikia mbunge akijii Idd Ninga
Jf bhana raaaaaaaha mtindo mmoja.

Duuu naona post iliamua kujirepost automatically
 
Last edited by a moderator:
Idd Ninga shida nini kwenye kitufe chako cha kutoa LIKES? Naona panasoma zero

we acha tu,si unajua tena visimu vyetu vya kichina havina uwezo wa KULIKE kwa sababu natumia JF MOBILE Ila ka unaweza kuifahamu CODE ya kulike unaweza kunishtua
tatizo ni njia nayotumia kufika humu Jf.
 
Last edited by a moderator:
we acha tu,si unajua tena visimu vyetu vya kichina havina uwezo wa KULIKE kwa sababu natumia JF MOBILE Ila ka unaweza kuifahamu CODE ya kulike unaweza kunishtua
tatizo ni njia nayotumia kufika humu Jf.

Download JF App unakosa mengi ujue
Lakini pia ukiingia kwenye JF MOBILE kuna kitufe cha TOUCH upande wa huu kulia kiguse kile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom