JF live Chat is up now!

Nimeweza kuingia ila haijanivutia kiasi cha kusema natamani kuingia tena!!!
Kusema ukweli iko kawaida sana....can't you guys pendezesha it kidogo??:twitch:
Alafu swala la kila ukitaka kuingia lazima ulog-in nalo linaboa flani hivi!!Bila
kusahau kwamba mtu anaweza kuingia kwa jina lolote!!
Nwyz hayo ni mawazo yangu tu....mnaofurahia na mzidi kufurahi!!!!!
 
mimi nimeshindwa ku-connect.. natumia MOZILA.
nielekezeni what is wrong
napata hii msg:

[09:23] Connecting...
[09:23] Unable to connect : java.net.ConnectException : Connection refused: connect
 
Nimeweza kuingia ila haijanivutia kiasi cha kusema natamani kuingia tena!!!
Kusema ukweli iko kawaida sana....can't you guys pendezesha it kidogo??:twitch:
Alafu swala la kila ukitaka kuingia lazima ulog-in nalo linaboa flani hivi!!Bila
kusahau kwamba mtu anaweza kuingia kwa jina lolote!!
Nwyz hayo ni mawazo yangu tu....mnaofurahia na mzidi kufurahi!!!!!

Lizzy mi nadhani TUGOME hadi irudi ile ya mwanzoni, that was very personal au unaonaje? mi ningependa nikiingia kule nikukute Lizzy kama wewe but the fact kwamba mtu anaweza kuplay around na jina lolote, inaondoa ile personalised way ya kuchat hata kama kuna PM but how far am I sure kwamba huyu ndo Lizzy wa JF?

TUGOME.
 
In fact sio lazima u-log in ili uchat....any guest can chat.....
 
Lizzy mi nadhani TUGOME hadi irudi ile ya mwanzoni, that was very personal au unaonaje? mi ningependa nikiingia kule nikukute Lizzy kama wewe but the fact kwamba mtu anaweza kuplay around na jina lolote, inaondoa ile personalised way ya kuchat hata kama kuna PM but how far am I sure kwamba huyu ndo Lizzy wa JF?

TUGOME.

Kweli kabisa....mtu anaweza kujifanya ni yeyote kati yetu kumbe sio!!Naweza kuingia na jina la mtu kule nikachafua hali ya hewa lawama zikaenda kwake kumbe haikua yeye!!!!
Sio lazima wa rudishe ya mwanzo..waboreshe tu iwe ya maana!!!Bongo5 ilikuaga na chat room nzuri sana....though ilikua ni ya uwazi kama hii ila kwa sura ilikua na mvuto zaidi alafu ilikua unaingia na jina ambalo umejiandikisha nalo!!!Waige kidogo..sio vibaya!!
 
Ile chat original ndio nzuri nadhani wataifanyia kazi na kupunguza hayo ma-login mengine
 
Back
Top Bottom