JF ladies talk talk …...

Wapi Lizzy?

Dah ubize sometime mbaya kweli!!!

FL1 asante mama kwa kutupa sehemu ya kushea maurembo na umbea kidogo....japo naona kina kaka nao wamevamia utadhani sketi wanavaa!!!

Well mimi napenda sana jeans..legging na jeggings tight nikitupia na top au shati oversize kidogo na jimkanda kwa juu basi naridhika!!
Zamani nlikua namaind vimini ilasiku hizi magauni na sketi za marinda marinda ndo napenda...hapo na wedges nimemaliza!!
Viatu kwanzia heels...flats...raba siku najiskia kutoka kimtaani mtaani..
Nywele napenda sana nikiwa na afro sema wakati mwingine nashawishika kuweka dawa...na kusuka rasta napenda sana!!
Pochi sipendi kiviiiiiile japo sikosi begani.....ila kwa miwani huniwezi maana napenda kupitiliza!!
Make up...wanja, lipgloss na bronzing powder kidogo!!
Accesories kofia yani sana...mpaka bushori zile kama tuvyoziita huku Ungalii navaa...then hereni na bangili naona nimeanza kuvaa sana lately!

Ngoja nirudi bize alafu baadae nije kumalizia kusoma mashosti wengine mwapenda nini!!
 
Mmmh so far so good. Mpaka sasa Michelle na Belinda wako juu. Wameelezea kwa utondoti jinsi walivyo au jinsi wanavyopenda kujiweka. Safi sana.

Mzalendo Kaizer are you taking note?

Of course of course...very seriously, son
 
FL1 consider this in near future; andaa wadada wa humu tukutane sehemu kuongea kuhusu maisha na mambo mengine yanayojiri kwenye mji huu wa bongo. Unajua sometimes mambo mengi yanatokea hatuna pa kuyapeleka, au unaona vitu fulani kama vigeni kwako kumbe kuna watu wana suluhu navyo. Kuna maisha ya BF/waume tunayaona mageni kumbe kuna watu wameshapitia huko. Tukikaa pamoja tunaweza kupeana moja mbili tukapunguziana mizigo.

Mimi huwa ni mshirika wa kikundi cha akina mama kanisani na mtaani, nina experience na mambo mengi, kuombeana kwa ajili ya mambo fulani huwa niko mbele sana, tujaribu hiii tuone.

Be blessed.
 
Love you all najua mko vere busy :love:
Tupige story hapa napenda kujua kina dada mnapenda nini upande wa
wa mavazi, nywele ,viatu na mengineyo mwajiweka vip manake najua kila mtu anavitu vyake anavyopenda !
Natamani kuwaona siku moja wooote ..
Nikianza na List kama ifuatavyo!

Mimi Binafsi napendelea sana kusuka rasta or dread lakini nywele iko natural sometimes naachia afro shiraz popote utakaponiona lazima Napenda jeans tight na vitop top kumechisha
Napenda ma handbags na makorokoro kibao sina mkorogo napaka mafuta ya nazi usoni made in mimi mwenyewe no make up napenda nguo za vitenge za kushona nk nk
Nitaendelea

WOS..
MJ1
Nyamayao
Preta
Regia Mtema (GS)
Cheusimangala
BHT
Pear
Carmel
Ziondoughter
Michelle
Afrodenzi
Hellen .P
Diana Doube Diff
Miss Judith
Maria Roza
Remmy
Suzy
Firstlady
Da Mie
Shost
Asha D
Maty
LD
JS
Lizzy
Sweetlady
Wiselady
Dena Amsi
Gaga
Da Pretty
Husninyo
Pauline
Miss kelly
Nazjaz
Mama Brian
Catheleen
Shantel
Kakajambazi
Murefu
Egypswomen
Digna37
King'asti
Daughter
Caroline Danzi
RussianRouletteBelinda Jacob
...
bado naendelea

Nitake radhi aise.
 
Ohoo asante sna FL napendelea zaidi kuvaa very simple and comfotable mengine nitarudi baadae

Thanks Mary Roza naona wewe uko vere simpo hakuna mapurukashani wakati wa kutoka Out:smile-big:

dahhh FL1 leo umenikamatisha mmhh
nway nikiwa nyumbani mara nyingi niko kwenye short shorts na vest ....
in general napenda skinny jins na tops...
kama naenda out i prefer minskert, low cut tops lakini napenda zaidi mini dress...
nikienda kumsalimia bibi kanga mbili hahaha lol
vipodozi sipaki ( ila kama naenda out make up ntaweka )
personal mi niko rough sana kwa kazi nifanyayo mara nyingi niko kwenye jins
au shorts.. (depends with the weather) Nywele mmhhh nasuka au nabana Afro langu
huwa na relax every now and then but i cant be bother most of time..
nina style ya ki tomboy ... ( im into sports ndo maana napenda shorts zangu na track pants.. lol)
( nina addiction mbaya sana ya perfume na viatu )
AD utakayemwona Clubin sio sawa na AD utakaye mwona uwanjani,kazini au nyumbani ...

the END...

Rangi Gani unapenda Afrodenzi?
Red or

Mavazi ofisini napenda kupiga vigauni vyangu very simple,
nikiwa home vigauni pia au tops na shorts au tights.
nikitoka kitaa jeans tight,tops,vigauni (duh! napenda gauni kumbe!)
Sijawahi kupenda skirt nahisi hazinikai vizuri kwente hiki ki figure!
Kidigo suti kanisani au mara chache ofisini.
Nywele napenda sana rasta,juzi kati nikazikata nisokote dreads.
Siwezi kuvaa wig mwenzeni naona yananikera!
Natumia light cosmetics, rangi yangu naipenda....
Make ups ni wanja na lipshine nimemaliza labda kama naenda kwenye vipati fulani ndio nahangaika na make up maana sina utaalam nazo.
Sijawahi kusahau handbag yangu i Like it.
Sipend perfume kali....
Nlisahau kiatu, vyote navaa inategemea nakua wapi na mood yangu nataka nini.

Da Pretty itabidi namie nijifunze kupenda vigauni thanx ....

lol hii mada imenivutia let me share some thing with u nice ladies.. kwa upande wangu napenda kuvaa nguo ndefu i mean kama sketi basi ndefu mara nyingine navaa hata baibui(hijabu), viatu simple shoes, nywele mara nyingi napenda kusuka rasta wivingi na wigi sio mzuka kwangu, napenda saana vidani kuanzia pete ya kidole hadi ya mguu, handbag ndogondogo sio mikubwa km ya safari tena sio zile za kuweka begani napenda za kushika mkononi ama kubana kwapani.. kwa upande wa cosmetic, napaka mafuta ya rinju, pamoja na alovera jelly, pafyum adorable spray. rangi yangu kubwa ya mavazi ni pinki... ni hayo tu kuhusu mimi

cathreen asante sana naona wewe na Trouser ni mbali mbali :smile-big:
 
Love you all najua mko vere busy :love:
Tupige story hapa napenda kujua kina dada mnapenda nini upande wa
wa mavazi, nywele ,viatu na mengineyo mwajiweka vip manake najua kila mtu anavitu vyake anavyopenda !
Natamani kuwaona siku moja wooote ..
Nikianza na List kama ifuatavyo!

Mimi Binafsi napendelea sana kusuka rasta or dread lakini nywele iko natural sometimes naachia afro shiraz popote utakaponiona lazima Napenda jeans tight na vitop top kumechisha
Napenda ma handbags na makorokoro kibao sina mkorogo napaka mafuta ya nazi usoni made in mimi mwenyewe no make up napenda nguo za vitenge za kushona nk nk
Nitaendelea

WOS..
MJ1
Nyamayao
Preta
Regia Mtema (GS)
Cheusimangala
BHT
Pear
Carmel
Ziondoughter
Michelle
Afrodenzi
Hellen .P
Diana Doube Diff
Miss Judith
Maria Roza
Remmy
Suzy
Firstlady
Da Mie
Shost
Asha D
Maty
LD
JS
Lizzy
Sweetlady
Wiselady
Dena Amsi
Gaga
Da Pretty
Husninyo
Pauline
Miss kelly
Nazjaz
Mama Brian
Catheleen
Shantel
Murefu
Egypswomen
Digna37
King'asti
Daughter
Caroline Danzi
RussianRoulette
Belinda Jacob
Graca
Roselyne1
Rose1980
...
bado naendelea
Firstlady1 asante sana kwa hii list itanisaidia kupata mchumba humu lol
 
A very nice topic.
Binafsi kutokana na nature ya kazi j3 hadi ijumaa ni full suti iwe sketi au surali ila napendelea sana suti za suruali.
Nikiwa home kikaptula/pensi na kitop au kigauni simpo cha kitenge,
wikiendi jinzi na tishet au kiblauzi,
Napenda vitenge na batiki lakini sio zenye mashamsham huwa nashona vigauni simpo au kaptula,
Napenda sana handbags za designers,
Shoes it depends na juu nimevaa nini,
nywele ni fupi natural,pia napendelae kusuka rasta,
manukato sio mpenzi wa vitu vyenye harufu kali so natumia spray na deodorant za johnsons and johnsons,
sio mpenzi wa make-ups.
kifupi niko simpo.
 
jamani wakati hii inarushwa sijui nilikuwa nazurura wapi

Mi napenda chupi bikini alywaz yani maboxer labda yale ya wakati uleeeeee wa angani tu,n apenda nguo fupi coz mguu upo na hata usingekuwepo utanenepa lini?officin suit or nguo fupi lkn yenye heshima,mtaani jeans,tshirt,tops,kaptula,jinsi skit fupi,simple sandoz,high hills,mapochi na ma urembo kwa sana,perfume must,saa nop,shanga nop,cheni miguuni,kiunoni,kitovuni leo yatoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,nywele natural coz usinga unanisaidia,make up kawaida si mapouuuuuder kama mwali wa kimakonde,mafuta ya nywele amla ni kama ya nazi but yameboreshwa,mafuta mwilini baby care (pure mafuta mgando no lotion at all)
Japo msosi hujasema but let me ongeza here,ni ugali,dagaa,tembele,ndim sana no pilipili,no pombe,no soda juice kwa wingi maji mmmmh its an issue.
 
Hivi au basi tu ngoja nikuache kwanza
 
Nyeupe, nyekundu, pink, bluu, damu ya mzee, rangi ya ugoro au rangi ya simenti?
 
Pearl my dear unaniapaga raha sana, hapo kwenye u leg umenimaliza mackini, nimecheka mpaka bac....hahahaha yaani wewe hapana aisee....
 
eeeeh unanitaka nn lkn ww?huku unatafuta nn kwani?nivae chupi nyekundu?kisa cha kupigwa na radi?kitu white zo na nyeusi pia but mara mbili kwa wiki,pink yap bluu nop am not a boy,wat else do u wanna knw?seems huna wadada wa kucheza nao kidali pooo eeeeeh?
Nyeupe, nyekundu, pink, bluu, damu ya mzee, rangi ya ugoro au rangi ya simenti?
 
ah ah ah si u knw love u sana swty!coz u dont care as I do about wat pipo say as long as hatuvunji sheria,nilisahau na tatoo pia ninazo but msiniulize sehem gani lol,miss u big time
Pearl my dear unaniapaga raha sana, hapo kwenye u leg umenimaliza mackini, nimecheka mpaka bac....hahahaha yaani wewe hapana aisee....
 
eeeeh unanitaka nn lkn ww?huku unatafuta nn kwani?nivae chupi nyekundu?kisa cha kupigwa na radi?kitu white zo na nyeusi pia but mara mbili kwa wiki,pink yap bluu nop am not a boy,wat else do u wanna knw?seems huna wadada wa kucheza nao kidali pooo eeeeeh?
Ndio nakutaka wewe, Nakutafuta wewe ujue, niwatoe wapi wakati wewe umenikimbia
 
Back
Top Bottom