JF ladies talk talk …...

Mavazi: navaa nguo yeyote inayonifanya niwe huru,ninayejiamini na ninayojisikia kupendeza na kuuona mwili wangu mzuri zaidi.....sijaweza kuvaa kitenge,nguo za kushona wala suti....naona kama na complicate maisha na nakuwa mzee....maybe in future....!

Nywele: Sipendi wigi wala weaving wala rasta labda pale inapobidi....napendelea nywele zangu za asili na kuweka dawa kwa mbali

Viatu: napenda kuvaa viatu virefu na kama nina tembea muda mrefu nitavaa viatu flat

Handbags: napenda ziwe za kisichana na ziwe zilizobuniwa na designers wa kiitaliano

Make Up: ikinibidi but sipendi and its not my thing....ila lips lazima zirembwe...l.o.l

Accesories: napenda sana na najiona niliyepungukiwa kama sina kitu kwa mkono wangu,shingoni na masikioni....its a must for me

Thanks FL1,umenifanya nijifikirie...l.o.l
 
Black+suede+and+ecru+leather+two-tone+pumps+By+Christian+Louboutin..jpg Alexander+Wang%27s+body-con+dress.jpg Aur%C3%A9lie+Bidermann+necklaces.jpg Gold+sequin+clutch.jpg
pencil.png
 
nani alikuambia tukiokota vitu tunainama!vina staili yake weweeh,mtoto wa kike haruhusiwi kuinama hadharani,eboo!kwani ushazamia kitchen party ngapi?endelea tu kuna siku utaelewa hizi mambo zinakuwa aje,lol!
<p>
Jamani mie nashauri tu. Sasa hivyo visketi vifupi mnavyo vaa vinatuchanganya, unakuta dada kavaa kisketi hata akitembea anakua anakivuta kwenda chini mbona mie naona ni usubufu. Au sometimes anakaa maeneo ya public yeye mwenyewe anaona soo, anachukua mkoba anaweka kwenye magoti, yote hii kwa nini? Haya yote tisa niambie akidondosha kitu public atakichukuaje, mwishowe unaweza kukipotezea kuona aibu mwenyewe af unajijengea mazingira ya kutongozwa bila kujua. Haya hivyo vitop navyo kitovu nje unaanza kutoonyesha michirizi ya tumbo, hii sio ishu mie nawashauri muwe mnavaa kama Salama Jabir au Fetty wa clouds hawa wanajistili. Mie hivyo vishot skets na vitop sivikubali na shida yake utaiona wahuni wakikuvagaa, wanachukua kiulani badilikeni msinishambulie ni mtazamo tu.
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
Kin'gast karibu dukani TF Kakuwekea vyombo unaona halafu uje ukuchumbani changing room nikupe bei!
 
FL mie pia mwenzenu...

Mi napenda weupe jamani kwa hiyo nimejichubua kiasi, ila nipo kwenye mchakato wa kumeza kidonge mana ile kidogo haisumbui sana kama mikorogo maana kuna wakat wakongo wanatuchanganyia vitu ukipaka yaan uso unababuka mpka uvizoee au ukanunue vingine.

Napenda sana make-up hata mchana siwezi toka ndani bila hiyo kitu, nyusi kubandika ni maisha yangu, wanja unapanda juu kdg ndo unakata kona, lipstick kama kawa, kubandika kucha ndefu kiasi mguuni na mikono, nywele ma wig na wiving mana nina kipilipili cha nywele, napenda vito vya rangi ya gold sana (hat kam si original gold) yaani heren kubwa, cheni pana hiv.

Nguo napenda, batiki au dira zikiwa zinang'aa napenda zaid navaa muda wowote na hazinishiki mwili kabisa, maana nimejaliwa sana nyuma ki ukweli, huwa sipend usumbufu njiani hhahahahahah

Handbags napenda zenye rangi rangi nyingi maana na huwa huwa na match na madira yangu.

Perfum napenda zenye harufu kama ile Kuluthum ila si kali sanaaa.

Yaani kifup ukikutana nami njiani utanipenda tu, maana kila wakat nipo kama naenda kwenye part vile.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom