JF ladies talk talk …...

hei....first lady usipige kelele! kesho ni siku ya kuzaliwa ya wifi yenu, nataka kumfanyia ka- suprise kidogo, nishaurini nimlipue kwa mtoko gani? fast kabla hawajanifumania hapa na mi nikapakwa ina na lipshine!

nakusubiria hapa pembeni mwa jamvi......!
 
Wow..send her flowers kwanza kama anafanya kazi 'ajidai' nayo ofisini, hata kama home poa tu

Then go out for a romantic diner na mnaweza kumalizia na runway shoppers if u dig miziki ya hapo ama popote pale penye mziki mzuri kama mashabiki, kesho ndio friday!
 
Hivi ni kuweka “weaving” au ni kuweka “weave”? Manake weaving ni verb tena iliyo katika present tense. Weave ndo noun. Sasa utawekaje/utashonewaje “weaving”?.

Hii lugha ya bi. Mkubwa hii.

tukisema 'weaving' tunamaanisha 'weave on' ila hata ukisema 'weave' ni sahihi lkn weaving ni kama kislang fulani hivi cha sisi wadada wakibongo kutokana na kwamba hatuijui lugha ya watu vizur basi ndo watu wanasema weaving badala ya weave on na hata wenzetu wanaokijua kizungu tumewaambukiza kusema weaving japo wanajua hiyo ni verb ya wkt uliopo,makosa mengi ya lugha tunayafanya sbb ya mazoea mfano utaskia mtu akisema 'nitavaa kimin changu' akimaanisha minskirt lkn najua wenzetu mnaokijua kiinglish mtajiuliza min what?min salary,min bus or min what.
aahh hata hivyo sie wengine hizi lugha tunazisikia siku akija mchungaji wa kizungu kanisani kwa hiyo mtusamehe.
 
Oh wala hakuna ubaya. Nilikuwa nauliza tu maana nimesikia wengi sana wakisema hivyo hadi nikawa najiuliz labda nijuacho mimi ndo si sahihi. Nashukuru umeeleza kwa kuridhisha kwa nini watu husema hivyo.

Mambo mengine vipi lakini?
 
ndio mimi Superman mbona hukunishitua ,mie niko mapokezi karibu sana

Gat ya! Unataka kunipiga fix, mimi sijasema New Africa nisemesma maeneo ya New Africa mitaa ya mjini kati. Ila there is a day nilimwona mdada kama wewe anapata lunch na si rception. anafanana sana na huyu mdada:

attachment.php
 
cheusimangala mbona nakumiss sana rafiki ,hebu rudi nielekeze wapi napata mikoba mizuri jamani kizuri tushee bana miss u big tym

mim pia nakumiss best yangu siku hizi nimetingwa kweli.
kuhusu mikoba hata sijui sehemu huko bongo wanakouza mikoba mizuri lkn nitajaribu kukuulizia.
 
Oh wala hakuna ubaya. Nilikuwa nauliza tu maana nimesikia wengi sana wakisema hivyo hadi nikawa najiuliz labda nijuacho mimi ndo si sahihi. Nashukuru umeeleza kwa kuridhisha kwa nini watu husema hivyo.

Mambo mengine vipi lakini?

nashukuru kama umeelewa.
tatizo pekee nililokua nalo ni kukumiss wewe lkn mambo yangu yote ni poa kabisa.
 
mim pia nakumiss best yangu siku hizi nimetingwa kweli.
kuhusu mikoba hata sijui sehemu huko bongo wanakouza mikoba mizuri lkn nitajaribu kukuulizia.

Mi najua inakouzwa ile bomba kabisa tena ya Designer kwa bei poa.

Ila ndo hivyo tena, this JF Ladies Talk Talk na mimi am just a Man
 
Mi najua inakouzwa ile bomba kabisa tena ya Designer kwa bei poa.

Ila ndo hivyo tena, this JF Ladies Talk Talk na mimi am just a Man

mwelekeze basi FL1 atakapo pata hizo mikoba mizuri ili tukusamehe kwa kuingia choo cha kike,
mim binafsi sivai designer stuffs sbb nataka kuwa bilionea wa viwango vya dunia ya kwanza na siri kubwa ya watu waliokua matajiri ni ubahili,so nitaanza kulipuka na big brands nikifikisha miaka 40 kwa sasa nazichanga.
Pia i hate fake ones.
 
FL naona na mimi nishare kidogo...

Kwenye vikao vya bodi navaa suits na high heels, kwenye vikao vya kazi nakuwa na casual smart wear

Ninapokuwa site mara nyingi navaa overcoat na maramojamoja overalls!!

Kila nilipo wether site,ofisini au sokoni kila handbag lazima iwe na lipgloss I just can't do without it,hata kwenye gari lazima kuna lipgloss

Mara nyingi safarisafari hivyo ninacollect perfumes sana...just a hobby

Vilevile ninacollect clutches na zenyewe zina lipgloss...

Makeup kiasi natumia clarins toner,cleanser,moisturizer na kokoro zooote kila kitu na bio oil

Siweki weave, sishoni nguo wala kuvaa vitenge si mpenzi sana I guess polepole itajipa,

Asante sana Nsiade unapotea sana mpendwa usiwe unafanya hivo..
Am ndio kazi inakubana mwenzetu
hv great weekend
 
hei....first lady usipige kelele! kesho ni siku ya kuzaliwa ya wifi yenu, nataka kumfanyia ka- suprise kidogo, nishaurini nimlipue kwa mtoko gani? fast kabla hawajanifumania hapa na mi nikapakwa ina na lipshine!

nakusubiria hapa pembeni mwa jamvi......!

Sorry Ticha nimechelewa kukujibu kutokana na majukumu ya kifamilia
nadhani ushapata mtoko msalimie sana wife ..na salam zetu zifikishe za bday
 
Mi najua inakouzwa ile bomba kabisa tena ya Designer kwa bei poa.

Ila ndo hivyo tena, this JF Ladies Talk Talk na mimi am just a Man

Na wewe bwana Allied kama una duka twambie liko wapi tuwe tunakuja kuongeza mapato ya duka :happy:
 
mwelekeze basi FL1 atakapo pata hizo mikoba mizuri ili tukusamehe kwa kuingia choo cha kike,
mim binafsi sivai designer stuffs sbb nataka kuwa bilionea wa viwango vya dunia ya kwanza na siri kubwa ya watu waliokua matajiri ni ubahili,so nitaanza kulipuka na big brands nikifikisha miaka 40 kwa sasa nazichanga.
Pia i hate fake ones.

Cheusi nimeipenda hii umenipa mbinu mbadala ya maisha he he he
 
Friendship is a quiet walk in the park with the one you trust.
Love is when you feel like you are the only two around.
Friendship is when they gaze into your eyes and you know they care.
Love is when they gaze into your eyes and it warms your heart.
Friendship is being close even when you are far apart.
Love is when you can still feel their hand on your heart
when they are not near.

Friendship is hoping that they experience the very best.
Love is when you bring them the very best.
Friendship occupies your mind.
Love occupies your soul.
Friendship is knowing that you will always try to be there
when in need.
Love is when you will give up everything to be at their side.
Friendship is a warm smile in the winter.
Love is a warming touch that sends a pulse through your heart.
Love is a beautiful smile to which nothing compares:
A tender laugh, which opens your heart,
A single touch that melts away your fears,
A smell that reminds you of the tenderness of heaven,
A voice that reminds you of the innocence of youth.
Friendship can survive without love.
Love cannot live without friendship.
 
Back
Top Bottom