JF ladies talk talk …...

mbona sipo kwenye list..but anyway kitu ambacho i cnt live without ni my 'kikuku' na bracelet...im mad with perfumes especially za designers my favourite being 'can can' by paris hilton..FL1 naomba uongeze jina langu hapo..
 
Fl1 nilikua nadhaniaga ww ni mtu wa vitenge zaidi kumbe tofauti.
mim kwa upande wa nywele,sijazitia dawa maana nina nywele nzuri ndefu za asili ila sometime naweka weaving nikijisikia kubadilika ila rasta sipendi .
napenda kujiremba ila sio kwa heavy make ups,
mavazi yangu makuu ni tight jeans ,leggings,jeggings na blause ninazovaa inategemea na mahala ninapoenda ila sipendi mablauzi makubwa makubwa.
Viatu vyangu vingi ni high heels tena lazima iwe ndefu hasa ila flats pia navaa sometimes.
Im allergic to perfum hivyo miaka yote kuna perfum ya aina moja tu ndio naitumia.
siwezi kutoka bila pochi begani.
Sipendi kuvaa ma accessories mengi kama mibangili ,mamikufu na mihereni ya rangi rangi hivyo ukikutana na mim aidha utaona nimevaa cheni simple ya white au yellow gold na vihereni vidogo mkononi napenda kuvaa saa mara nyingi,au no hereni sometimes,navaa hereni kubwa sometimes ila zaidi kama nimevaa gauni refu tight la usiku.
Mkorogo situmii ,miaka yote natumia nivea body milk na ndio inayosaidia niwe na ngozi laini kama ya mtoto mchanga lol.
nguo ambazo sipendi kuvaa ni BIKINi,(najua ni ushamba lkn hata nikienda beach bora niogelee na skin tight lkn ujasiri wa kuonyesha makalio yangu mbele ya raia sina). Pia sipendi vitenge na suti au kitu chochote ambacho kimepitwa na wakati au kilichopo kwenye fashion lakini hakiendani na heshima yangu kama mdada aliyempokea YESU.

kwa kweli napenda sana kupendeza hivyo kila ninachovaa lazima kinipe classy and glamorous appearance.
 
cheusimangala mbona nakumiss sana rafiki ,hebu rudi nielekeze wapi napata mikoba mizuri jamani kizuri tushee bana miss u big tym
 
Hivi ni kuweka "weaving" au ni kuweka "weave"? Manake weaving ni verb tena iliyo katika present tense. Weave ndo noun. Sasa utawekaje/utashonewaje "weaving"?.

Hii lugha ya bi. Mkubwa hii.
 
Si ndio mana hapa hapakufai, wewe usilete mambo ya form two B huku. Hutaelewa ng'ooo.
Hivi ni kuweka weaving au ni kuweka weave? Manake weaving ni verb tena iliyo katika present tense. Weave ndo noun. Sasa utawekaje/utashonewaje weaving?.

Hii lugha ya bi. Mkubwa hii.
 
FL naona na mimi nishare kidogo...

Kwenye vikao vya bodi navaa suits na high heels, kwenye vikao vya kazi nakuwa na casual smart wear

Ninapokuwa site mara nyingi navaa overcoat na maramojamoja overalls!!

Kila nilipo wether site,ofisini au sokoni kila handbag lazima iwe na lipgloss I just can't do without it,hata kwenye gari lazima kuna lipgloss

Mara nyingi safarisafari hivyo ninacollect perfumes sana...just a hobby

Vilevile ninacollect clutches na zenyewe zina lipgloss...

Makeup kiasi natumia clarins toner,cleanser,moisturizer na kokoro zooote kila kitu na bio oil

Siweki weave, sishoni nguo wala kuvaa vitenge si mpenzi sana I guess polepole itajipa,
 
Back
Top Bottom