E. J. Magarinza
Member
- Jan 13, 2011
- 37
- 10
Wanajamvi nafikiria njia gani nzuri tunaweza itumia ili kupeleka ushawishi kwa wasomi walioko shule na vyuo kujiunga na kuutumia huu uwanja wa jf ili kupata taarifa.
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Mbona tayari JF inao members kibao huko mavyuoni?Wanajamvi nafikiria njia gani nzuri tunaweza itumia ili kupeleka ushawishi kwa wasomi walioko shule na vyuo kujiunga na kuutumia huu uwanja wa jf ili kupata taarifa.
Nawasilisha.