JF Inatisha!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Hawa nao ni wana JF....
 
Attachments

  • mmmmh.jpg
    mmmmh.jpg
    13.4 KB · Views: 334
Bro hii kali
Haa haa haa! Naona hawana hata haja na msosi! Inanikumbusha enzi internet ilipoanza hapa bongo, mtu unashinda kwenye screen tangu asubuhi, unashtukia tu giza limeingia hata njaa hujaisikia!
 
Katavi kama sikosei huyo aliye kaa katikati ni wewe piga ua usibishe!
 
Hii lazima itakuwa ni JF plus something exotic....haiwezekani mpaka vitoto vimetoa mimacho hivyo!!!!
 
Haa haa haa! Naona hawana hata haja na msosi! Inanikumbusha enzi internet ilipoanza hapa bongo, mtu unashinda kwenye screen tangu asubuhi, unashtukia tu giza limeingia hata njaa hujaisikia!
Tena hako katoto mbele ndio kapo bize kweli, hapo wakija kustuka ni asubuhi wanatakiwa waende kazini na watoto shule.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom