jf imenitoa, shukrani

Hongera na hasa kwa record keeping nadhani na wengine tutaiga maana inafikia wakati unaitwa kwa interview hukumbuki hata uliomba kazi gani unaishia kuonekana mbabaishaji
 
Naomba mniombee niweze kufanya hii kazi vizuri, niweze kuproduce kinachotegemewa na mwanajiri wangu.

asanteni sana.

Inshallah Mola akufanyie wepesi katika kazi yako mpya. Na pia Mola akuepushe na roho ya kifisadi, amin.
 
Back
Top Bottom