jf imenitoa, shukrani

Wadau nashukuru sana jf imenitoa, nimepata kazi kupitia mojawapo ya tangazo nililoliona humu, nikaitupia sasa nimelamba ajira, sio kazi rahisi coz nimetupia apllication 83 online, 31 za kupitia hardcopy (posta).

kati ya hizo application zipatazo 114 nimeitwa intv 5 tu, 1-online, 4 nilituma hardcopy.
tunaomba kazi tusikate tamaa, manake mie hizo zote ni tangia 2011, kabla ya hapo sina record.

Naomba mniombee niweze kufanya hii kazi vizuri, niweze kuproduce kinachotegemewa na mwanajiri wangu.

asanteni sana.

Hongera sana Mkuu
 
Hongera sana. Kazi zimekuwa ngumu sana siku hizi na unapaswa kumshukuru Mungu pia. Jitahidi basi ukivuta salary ya kwanza, umtafute Invisible na uchangie JF japo kiduchu!
 
dah, kazi ni hiz hiz za kawaida mkuu,
kaz ni kaz bora siku ziende

soma mkataba wao vizuri na ujaribu kuangalia kitu kinachoitwa 'employment standard' kama kimezingatiwa, siyo tena baada ya siku chache uanze kusema ohoo mwajiri mara amenifanya hivi au vile kwahiyo naacha kazi. kuwa makini na mkataba wa kazi kabla ya chochote mkuu.
 
Hongera mkuu...we kaza buti tu, hakuna kigeni huko, hasa kama ni pro yako.!! Congrat bro!!
 
Mkuu Hongera kwa appreciation..but jaribu sasa kubalance muda maana JF nayo unaijua!
 
Muda si mrefu nami ntawatandikia good news hapa maana usaili ulifanyika, na mchakato uko pazuri mie kwenda kuanza hiyo kazi. Kitakapoeleweka rasmi ntawajuza wakuu. JF ni mwanzo na mwisho wajemeni.
 
Wadau nashukuru sana jf imenitoa, nimepata kazi kupitia mojawapo ya tangazo nililoliona humu, nikaitupia sasa nimelamba ajira, sio kazi rahisi coz nimetupia apllication 83 online, 31 za kupitia hardcopy (posta).

kati ya hizo application zipatazo 114 nimeitwa intv 5 tu, 1-online, 4 nilituma hardcopy.
tunaomba kazi tusikate tamaa, manake mie hizo zote ni tangia 2011, kabla ya hapo sina record.

Naomba mniombee niweze kufanya hii kazi vizuri, niweze kuproduce kinachotegemewa na mwanajiri wangu.

asanteni sana.

Mkuu Ndechumia tunakuombea lakini mafanikio yatatokana na wewe zaidi kuliko maombi yetu, naomba nikumegee nguzo muhimu za mafanikio:
  • Always approach every situation with A POSITIVE MENTAL ATTITUDE
  • Learn to go the extra mile in every assignment you take
  • Take 100% responsibility of your own results
 
Huoni tangazo la ku-support jamiiforums na uwe premium member linakufaa kabisa.
 
Wadau nashukuru sana jf imenitoa, nimepata kazi kupitia mojawapo ya tangazo nililoliona humu, nikaitupia sasa nimelamba ajira, sio kazi rahisi coz nimetupia apllication 83 online, 31 za kupitia hardcopy (posta).

kati ya hizo application zipatazo 114 nimeitwa intv 5 tu, 1-online, 4 nilituma hardcopy.
tunaomba kazi tusikate tamaa, manake mie hizo zote ni tangia 2011, kabla ya hapo sina record.

Naomba mniombee niweze kufanya hii kazi vizuri, niweze kuproduce kinachotegemewa na mwanajiri wangu.

asanteni sana.

Duh! Inaelekea wewe ni Mwajiriwa kindakindaki au cjui ni kutokana na kukaa nyumbani muda mrefu?!
Bandugu, tunahitaji kubadiri hali ya ajira ya sasa. Tufanye kazi kwa malengo, say, 5 years to 10 years then tujiajiri wenyewe na kuajiri wenzetu. INAWEZEKANA.
KILA LA KHERI NDECHUMIA.
 
hongera na kila la kheri,usisahau kuchangia japo 1% ya kamshahara kwa JF basi.
 
Mkuu Ndechumia tunakuombea lakini mafanikio yatatokana na wewe zaidi kuliko maombi yetu, naomba nikumegee nguzo muhimu za mafanikio:
  • Always approach every situation with A POSITIVE MENTAL ATTITUDE
  • Learn to go the extra mile in every assignment you take
  • Take 100% responsibility of your own results

preciselly noted...
 
Back
Top Bottom