JF imemkosea nini Diva mpaka katukani hivi?

Status
Not open for further replies.
Hana hadhi ya kuwa discussed JF na mnaothubutu kumdiscuss mnapoteza mda
 
Simfahamu vizuri huyu Diva lakini kwa maelezo mafupi ya maneno yake aliyoyaandika, hakika atakuwa na mambo haya:
1/Kashfa zinazoandikwa juu yake zina ukweli.
2/Upeo wake ni mdogo sana.
3/Ni msichana asiyejiheshimu.
4/Ana tatizo kubwa la kiakili.

ana tabia ya kuhonga wasanii wanaonuka mdomo
 
Diva ni malaya ambaye ubongo wa mbele ameubadilishia kazi baada ya carolite kuchanganya kumkchwa
 
Hivi huyo diva ni taka ngumu au? Naona tu mna discuss diva diva!wala sijui hiyo diva ni uchafu wa aina gani!! Mi nanunua used plastic kama hiyo diva haiwafai mniuzie.
 
Duh, ukiona mtu anakikaripia kitu, ujue kuna something wrong with him/her. Naona Diva anaitukana tovuti tu (Jf is ...), amesahau kuwa kuna watu ndio waandikao asiyoyapenda, na pengine yapo anayoyapenda pia.
 
Masikini My Loveliness Diva,,
Tatizo kuna watu wanamuandika vibaya huyu Binti humu kwa lengo la kumchafua.
Ila hapo ni kwamba ameghafilika kidogo tu.
 
Huyu mtoto ana matatizo, anatakiwa kujipanga na kukabili hoja kwa hoja sio matusi. Huyu binti ana physiological problems
 
kweli hile millioni 500 ilikuwa ya zimbabwe sasa nimemuelewa DIVA, Hivi ana tegemea atamke kitu kisichambuliwa kwa umakini na uhalisia wake? kweli nime amini apendi kuhojiwa amezoea kuwabuluza watu huko kwenye page zake.
 
Masikini My Loveliness Diva,,
Tatizo kuna watu wanamuandika vibaya huyu Binti humu kwa lengo la kumchafua.
Ila hapo ni kwamba ameghafilika kidogo tu.

hivi kuhojiwa uhalisia wa mahali ya million 500 na yeye ni kumchafua?
 
nyinyi si mlimuwekea kauzibe ili asipate mabwana? mulisema mahari yake ni mil 500. mia
 
hebu ntafutieni nafasi ambayo naweza kumuweka huyo ushuzi Diva asiejuwa kutawaza then nikamtoa mtu mmoja kati ya hao hapo chini.

1. Siwatu Luanda
2. Salama Mfamao
3. christina Chikonogela
4. Eda Sanga
5. Deborah Mwenda
6. Aloisia Maneno
7. Sango Kipozi
8. Sarah Dumba
9. Betty Mkwasa
10. Halima Kihemba
11.Aloisia Isabula
12. Domitila Urassa
13. Shida Masamba
14. Rsemerry Mkangara
15. Nyambona Masamba
16. Thekla Gumbo
17. Faudhiat Ismail Abood.

Ni mazezeta ndio watakaa na kumsikiliza huyo Khinzir wa Clouds
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom