Jewish Community kujaza jiji la Gaza after War-Kama Ahadi ya Allah (sw)

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,392
9,759
Israeli settlers build symbolic house on Gaza border
Wakazi wa asili wa Kiyahudi wanataka kujenga nyumba zao mpakani mwa Mji wa Gaza,

Wakazi wa Israel wameiomba Serikali yao kulisimamia bila kikomo eneo la Mkoa wa Gaza na Serilaki ijenge makazi ya kudumu kwa ajili ya Waislam mara tu vita itakapo kwisha.

''Lazima tuhamie. tunatakiwa tusambaze miji ya wayahudi maeneo yote ya Ukanda wa Gaza,'' Mwanamke mmoja wa kiisraeli aliiambia shirika la habari la kigaidi la Aljazeera.

Wito wa kuwaondosha waarabu walowezi katika ukanda umevuma na Wakazi wa Israel wanawiwa kujenga makazi yao huko Gaza, Mji wa Kihistoria wa Waisrael.

Video

The settlers are calling for Israel to take permanent control of the enclave and build Israeli settlements in it after the war.

“We must settle. We must spread Jewish towns all over the Gaza Strip,” one Israeli woman told Al Jazeera.
The call to permanently displace Palestinians in the enclave comes as Israeli settlers grow emboldened during the war in Gaza, waging at least 561 attacks on Palestinians since October 7, according to the UN Office for the Coordination of Humanitarian Affairs.

1709314969236.png
Kuran 5:20 to 5:26
 
Wabomoe na ule msikiti wa Al Aqsa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
sword.jpeg

https://blogs.timesofisrael.com/israel-is-the-gayest-country-on-earth/
 
Upanga means Love.. alfu mbona nishakujibu vizuri kwenye post zako thread zingine au ndio Sababu Allah ni best deceiver nawe umemrithi upotovu.

Ni kweli upanga ni love ndio huu anaoufahamisha mwenyewe

"Think not that I am come to send peace on earth: I came not to send peace, but a sword." – Matthew 10.34.

"For I am come to set a man at variance against his father, and the daughter against her mother, and the daughter in law against her mother in law. And a man's foes shall be they of his own household."Matthew 10.35,36.

" If any man come to me, and hate not his father, and mother, and wife, and children, and brethren, and sisters, yea, and his own life also, he cannot be my disciple." – Luke 14.26.

"And the brother shall deliver up the brother to death, and the father the child: and the children shall rise up against their parents, and cause them to be put to death." – Matthew 10.21.
 
Upanga means Love.. alfu mbona nishakujibu vizuri kwenye post zako thread zingine au ndio Sababu Allah ni best deceiver nawe umemrithi upotovu.

Best deceiver ni huyu

"Then I said, Alas, Sovereign Lord! How completely you have deceived this people and Jerusalem"

(Jeremiah 4:10)

"You deceived me, Lord, and I was deceived"

(Jeremiah 20:7)

"So now the Lord has put a deceiving spirit in the mouths of all these prophets of yours"

(1 Kings 22:23)

"So now the Lord has put a deceiving spirit in the mouths of these prophets of yours."

(2 Chronicles 18:22)
 
Wawatie mimba hao Wapalestina ili wazaliane vije vizazi vipya visivyo na uzombi wa ugaidi wa kiislamu
 
Israeli settlers build symbolic house on Gaza border
Wakazi wa asili wa Kiyahudi wanataka kujenga nyumba zao mpakani mwa Mji wa Gaza,

Wakazi wa Israel wameiomba Serikali yao kulisimamia bila kikomo eneo la Mkoa wa Gaza na Serilaki ijenge makazi ya kudumu kwa ajili ya Waislam mara tu vita itakapo kwisha.

''Lazima tuhamie. tunatakiwa tusambaze miji ya wayahudi maeneo yote ya Ukanda wa Gaza,'' Mwanamke mmoja wa kiisraeli aliiambia shirika la habari la kigaidi la Aljazeera.

Wito wa kuwaondosha waarabu walowezi katika ukanda umevuma na Wakazi wa Israel wanawiwa kujenga makazi yao huko Gaza, Mji wa Kihistoria wa Waisrael.

Video

The settlers are calling for Israel to take permanent control of the enclave and build Israeli settlements in it after the war.

“We must settle. We must spread Jewish towns all over the Gaza Strip,” one Israeli woman told Al Jazeera.
The call to permanently displace Palestinians in the enclave comes as Israeli settlers grow emboldened during the war in Gaza, waging at least 561 attacks on Palestinians since October 7, according to the UN Office for the Coordination of Humanitarian Affairs.

Kuran 5:20 to 5:26
Mzee wa kamba uwa nachek post zako zimejaa uharo vipi Maandamano ya raia wa Gaza wanaipinga Hamas yameisha🤣🤣
 
Kumbe source tv ya waarabu al jazeera...!!!
Afu hiyo picha unajua hapo ni wapi na hao wamesimama kwa ajili gani?????
TATIZO LENU NI HILI MNA UGONJWA WA. AKILI DHIDI YA WAYAHUDI.......KUTOKANA NA MAFUNDISHO YENU YA KIARABU....!!!
TANGU LINI MUISLAM NA MWARABU AKAONGEA POSTIVE KUHUSU JEW'S
 
Watu wengi huwa wanashindwa kuuelewa huu mstari, wakati palepale kwenye mstari husika Yesu alifafanua vizuri. hata ukisoma sasahivi, ni self explanatory, unaweza kuutafsiri wazi wazi alicholenga.

SWALI: wakati gani yesu aliongea maneno haya? JIBU: ukisoma Mathayo 10, Yesu aliongea maneno hayo baada ya kuwaita wanafunzi/thenashara wake akawatuma kwenda kuhubiri, hivyo alikuwa anawaambia wawe tayari wanaweza kukutana na mateso kwasababu ya kumfuata yeye. ndicho alichomaanisha. soma hadi mwisho nitaweka mstari wenyewe pale chini.

SWALI: nini maana ya kuleta upanga? JIBU: Kipindi kile imani ndani ya Yesu Kristo ilikuwa ni usaliti na kufuru mkubwa sana katika dini ya Kiyahudi uliostahili kifo, serikali ya kiyahudi chini ya Herode iliyo kuwa kama ceremonial tu ndani ya serikali kuu ya Warumi ilikuwa inafuata sheria za kiyahudi ambazo imani ndani ya Yesu ilikuwa ni usaliti na kufuru. yaani wayahudi walitawaliwa kwa sheria za dini yao. Hivyo, kuwashawiwi wayahudi waache desturi zao wafuate mafundisho ya Agano Jipya ya Yesu Kristo, ilikuwa inafarakanisha familia, hivyo alikuwa anawaambia watu wawe tayari kubeba msalaba wamfuate. Kubeba msalaba maana yake wawe tayari hata kuteseka kama itatokea ila tu wamfuate, kwasababu kumfuata kunaweza kuwapatia shida. Msalama ilikuwa ni instrument ya kutesea kwa warumi, hivyo kubeba msalama na kumfuata ilimaanisha wajiandae wanaweza kuhitajika kupitia mateso hivyo wabebe kabisa instrument ya kuteswa kama itatokea wawe tayari katika kumfuata.

Kuleta upanga haimaanishi kwamba Yesu alisema watu waende wakaue, NO, alimaanisha hata ndugu anaweza kukuua kwasababu ya kumfuata Yesu, unaweza kufarakana na familia yote kwa kumfuata Yesu. Na hiyo ipo hadi leo, kuna watu wanatengwa na familia kabisa kwasababu wameokoka. Kwa wayahudi ilikuwa zaidi, middle east zipo hadi honor killing hadi leo, mfano binti wa kiislam akibadili dini au akifanya kituko cha dhambi kubwa ya kuaibisha familia, ndugu wanaweza kumuua kwa heshima ya ukoo n.k. ndicho alichomaanisha kwamba unaweza kuchukiwa au hata kuuawa na ndugu kwa sababu unamfuata Yesu. Kwa wayahudi hiyo ipo hadi leo, ukimfuata Yesu wanakutenga kabisa, na enzi zile walikuwa wanapiga kwa mawe hadi ufe.

SOMA MISTARI HAPA CHINI.

Mathayo 10: 16 Angalieni mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwamwitu, basi iweni na busara kama nyoka na kuwa watu wapole kama hua. Jihadharini na wanadamu kwa maana watawapeleka mabarazani na katika masinagogi yao watawapiga, nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na wafalme kwa ajili yangu, kuwa ushuhuda kwao na kwa mataifa. Lakini hapo watakapowapeleka,msifikirfikiri jinsi mtakavyosema, maana mtapewa saa ile mtakayosema. Kwa kuwa si ninyi msemao bali Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu. Na ndugu atamsaliti nduguye ili auawe, na baba atamsaliti mwana na wana watawainukia wazazi wao, na kuwafisha. Nanyi mtakuwa mkichukiwa na watu wote kwa ajili ya JIna langu, lakini mwenye kuvumilia hata mwisho ndiye atakayeokoka.

MATHAYO 10: 34: Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani, la! sikuja kuleta amani bali upanga. Kwa maana nalikuja kumfitinisha mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu, na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake. Apendaye baba au mama kuliko mimi hanistahili, wala apendaye mwana au binti kuliko mimi hanistahili. Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza, na mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona.
 
Back
Top Bottom