Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 318
- 662
Nimepata nafasi ya kupita jeshini kwa mujibu wa sheria (Operation Kikwete). Nimekua nikujiuliza ni nidhamu gani wanafundisha kule?
Lugha zinazotumika sio za staha kabisa. Nyimbo za matusi ni nyingi kuliko za uzalendo. Mbaya zaidi watu wakitoka jeshini huwa hawana heshima uraiani.
Nidhamu pekee niliyoiona ni ile anayopewa mwenye cheo. Sasa mpaka leo nabaki na maswali, hii ndo nidhamu inayofundishwa pekee?
Nimeona wanajeshi wa Marekani. Wale jamaa ni watu na nusu. Ni wakarimu sana wanapokua uraiani na mara nyingine huwezi kujua kabisa kama ni wanajeshi kwa namna wanavyoishi maisha ya ukarimu.
Sisi tunakwama wapi?
“You cannot be disciplined in great things and undisciplined in small things.” George S Patton