Jeshi letu lijifunze kutokana na vita ya Ukraine na sasa huko Israel/Hamas

Ha ha ha ha
Eti imeua wanajeshi 300 wa Israel.

Kama ameweza kuua wote hawa si vita ishaisha.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
"The Israel Police and the IDF said that they have so far identified the bodies of 1,075 of those killed in the Hamas massacre. As of now, 769 civilians and 307 soldiers have been identified."
Mkuu jitahidi kuwa updated na current news.
 
Samia aione hii ni dhahabu ktk nchi , watu km nyiny mnapaswa kutunzwa vzr ila ubinafs wetu tu , ningekuwa rais ungekuwa na mji wako na theatre yako kbs
Ni kweli kabisa hawa vijana wabunifu ni national treasure-tunu ya taifa.
Yule kijana kule marekani, aliye dukuwa websitevya siri za nchi yake, altafutwa hadi akapatikana.
Badala ya kufungwa akaajiriwa jinsi ya kuboresha usiri wa miundombinu ya kielektroniki za nchi yake.
 
No offence but its sound unrealistic
Adui huyu itabidi awe na unlimited resource ya kuchimba andaki from zanz to tanga bila kuwa detected.
You do realize wanachimba undersea?

Thats different story from congo
Zanzibara ina ardhi ambayo ni mali yake huko Bagamoyo serikali ya Jamhuri wa muungano haina ubavu kuingia na kuchunguz chochote wewe jifariji. Endapo Zanizbar itajitenga na ikakaribisha watu wa nasaba zao kutoka kwenye visima vya mafuta Tanganyika mtakipata cha mtema kuni. Ardhi iliyoko Bagamoyo imeambaa mpaka baharini na mpaka sasa kuna bandari bubu ambazo Tanganyika hawazifahamu zinashuka mizigo kutoka Zanzibar na kwingineko
 
Back
Top Bottom