Jeshi la Zanzibar linatia aibu au ndivyo inavyopaswa?

Status
Not open for further replies.
Hueleweki au unataka kuongeza thread tu?

Eti jeshi za ZNZ shaglabagla then picha ya JWTZ so wapi na wapi?
kwa taarifa yako JWTZ sio ya ZNZ ni ya TZ nzima.

ZNZ kuna KMKM, JKU, na Valantia km wanavyowaita wenyewe.

Sasa hapa unatuambia nini
 
sijakupata bado, unamaanisha kuwa kwa hawa askari kuangalia sehemu tofauti ndo jeshi halina nidhamu?, wewe umepitia jeshi?!. Rafiki usitoe hoja usiyooijua. Hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa heshima kwa mgeni rasmi. Hao wanao angalia mbele ni right markers, wengine wote ndo wanatakiwa kuangalia upande wa mgeni rasmi. Huo ndo utaratibu wa kutoa heshima. Tafadhari fafanua huo u-shaghalanaghala ni upi, hoja yako ya awali siyo sahihi. Nadhani wewe ndo uko shaghalabaghala upstairs.
Gama tatizo ni hiki kizazi cha Bongo Flavour hakijapitia JaKaTa (JKT), Rutashubanyuma kweli yuko nyuma. This is one of the smartest parade to be proud of.
 
01_11_tug775.jpg


Hata hivyo hili si JWTZ kama wengi mnavyosema hichi ni KIKOSI MAALUMU CHA KUZUIA MAGENDO (KMKM) hakina uhusiano na JWTZ
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom