Jeshi la Zanzibar linatia aibu au ndivyo inavyopaswa?

Status
Not open for further replies.

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
01_11_tug775.jpg

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Wanamaji, wakipita kwa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ), Dk. Ali Mohammed Shein, wakati wa maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Unguja. (Picha na Haroub Hussein).
 
Kutuchafua wanaliita ni JWTZ lakini huku bara hatufanyi hivyo......yaani huyu anaangalia kule na huyu huku........hakuna nidhamu kabisa..................na mafunzo yaelekea ni duni............na wala hawaonyeshi ukakamavu..........hao ni wazenji tu........chenga twawala lakini mabao twafungwa.........what do you think?
 
Waandaaji walikosea kuwapigia BRASS BAND...hawa wanataka TAARAB....ndio maana wamechanganyikiwa...mlio wa tarumbeta ni sawa na kujambisha
 
Kutuchafua wanaliita ni JWTZ lakini huku bara hatufanyi hivyo......yaani huyu anaangalia kule na huyu huku........hakuna nidhamu kabisa..................na mafunzo yaelekea ni duni............na wala hawaonyeshi ukakamavu..........hao ni wazenji tu........chenga twawala lakini mabao twafungwa.........what do you think?

sijakupata bado, unamaanisha kuwa kwa hawa askari kuangalia sehemu tofauti ndo jeshi halina nidhamu?, wewe umepitia jeshi?!. Rafiki usitoe hoja usiyooijua. Hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa heshima kwa mgeni rasmi. Hao wanao angalia mbele ni right markers, wengine wote ndo wanatakiwa kuangalia upande wa mgeni rasmi. Huo ndo utaratibu wa kutoa heshima. Tafadhari fafanua huo u-shaghalanaghala ni upi, hoja yako ya awali siyo sahihi. Nadhani wewe ndo uko shaghalabaghala upstairs.
 
Umempa jibu sahihi, Rutashubanyuma hajapita JKT wala mafunzo ya mgambo.
 
Mdebwedo kazi kweli kweli alafu miguu ilikuwa imelegeaaaaaaaa
 
Naona mtoa mada hajawahi kupitia Chipukizi wala mgambo wala JKT.
Ni bora serikali irudishe haya mafunzo, wengi wangepitia JKT matusi yangepungua JF.
 
Ruta nadhani hujui taratibu za gwaride la jeshi hasa kipengele cha kutoa heshima.
hao askari kugeuza shingo ndio utaratibu na sio utovu wa nidhamu.
 
Kuna mahali nimeuliza swali kuhusu picha hiyo. Kwa nini askari wa kike hawavai hijabu?
 
01_11_tug775.jpg

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Wanamaji, wakipita kwa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ), Dk. Ali Mohammed Shein, wakati wa maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Unguja. (Picha na Haroub Hussein).

Pole Ruta unaonyesha upofu wako wa mambo ya gwaride na Jeshi. Tafuta jingine haya waachie wenyewe. Kosa ni la Mwinyi aliyefuta JKT na Mgambo.
 
01_11_tug775.jpg

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Wanamaji, wakipita kwa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ), Dk. Ali Mohammed Shein, wakati wa maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Unguja. (Picha na Haroub Hussein).

Wewe Ruta kweli ni kilaza wa mambo ya jeshi, wacha kuropoka kuhusu kwata kama ujapitia kikosi, sio lazima uwe mtaalamu wa kila kitu vitu vingine unaweza kunyamaza au kuuliza, au ukabakia na mambo yako udini.
 
sijakupata bado, unamaanisha kuwa kwa hawa askari kuangalia sehemu tofauti ndo jeshi halina nidhamu?, wewe umepitia jeshi?!. Rafiki usitoe hoja usiyooijua. Hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa heshima kwa mgeni rasmi. Hao wanao angalia mbele ni right markers, wengine wote ndo wanatakiwa kuangalia upande wa mgeni rasmi. Huo ndo utaratibu wa kutoa heshima. Tafadhari fafanua huo u-shaghalanaghala ni upi, hoja yako ya awali siyo sahihi. Nadhani wewe ndo uko shaghalabaghala upstairs.

Heshima yako mkuu, vyema kuwapa funzo wanaorukia mambo wasiyoyajua...Rutashubanyuma karibu depo,hakuna kiingilio!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom