Matope
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 892
- 679
Anae ona aibu pambafu kbs huwezi kuona aibu kisa mabomu u stupid just imagine ajali zinauwa wa tz wangapi per day?unayo takwimu wangapi wanapoteza viungo vya miili yao?its not da same like gongo la mboto mbona mnakosa adabu kwa JWTZ u go Ngara,kigoma mpakani kule harafu ndo uandike huo upuuzi wako kuwa ni fool, ile ni ajali tu br,unajua jamaa wanajituma sana wamesaidia mangapi TZ,nakumbuka hawahawa ndo wanaokufanya ujiite ni nchi ya amani,kama vp ww nyamaza coz your so stupid ma (unatia hasira sana ww sema imeshatokea wafanye nn kuzuia sehemu nyingine hy ndo hoja!!!!THANKS