Jeshi la Polisi na JK Wanapanga Cover Up" Juu ya Mauaji ya Arusha? "Hawachoki Uongo"

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Wananchi Tumeona Polisi Wakipiga Risasi Wananchi Arusha na Leo Hii JK na IGP Mwema Wanafanya Njama za Udanganyifu na Kugeuza Sinema. Maswali Mengi Yanakuja, Kitu Gani Wananchi Hawajui Mpaka Sasa? Kuna Njama Kama Kawaida CCM Wanapenda Kudanganya Wananchi na Dunia. CCM Bado Wamelaa Usingizi wa Miaka ya Sabini. Wazazi Wetu Wengi Walikuwa Wakikaa Kimya na Kupokea Maelekezo na Ripoti za CCM na Leo Hii CCM Wanafikiri Vijana na Wananchi wa Generation Hii ni Mchezo... Mwema na Jk Wameua Wananchi Thats a Truth na Kinachotakiwa Wajiondoe Serikali Haraka Haraka. Kama Tunavyoendelea Kusikia Kutoka Vyombo Vyao vya Habari (TBC, ITV, Daily News) Wanatoa Videos na Ripoti za NEC. Hivi Nani Anamwani JK? Dr Slaa Kawaonyesha CCM Jinsi ya Kuandaa Kampeni na Kufichua Ukweli. Hii Style ya Media Kufurukisha Ripoti za Uongo Hata Watoto wa Vidodo Wanajua Haya ni Madudu. Tunacho Kifahamu Mpaka Leo ni Kwamba CCM Wanataka Kucover Up ili Wafadhili Wadanganyike CCM ni Wanajua Demokrasia, Ukweli ni Kwamba "Hakuna Misaada Itatolewa na Wafadhili Mpaka Watanzania Wapete Haki na Katiba Mpya, Not Less.

Inspector General of Police Said Mwema on Thursday accused Chadema leaders of perpetrating the January 5 violence saying the killings would not have happened if they had not invaded the Arusha Central Police Station to free fellow members

Foreign Affairs and International Cooperation Minister Bernard Membe also assured diplomats that the government was taking measures it deems fit to redress the recent political mishap in Arusha Region. “The government is concerned with the loss of lives in the fracas…but it’s important for diplomats to be patient; the Prime Minister is due to make a statement on the matter,” Membe said after he had an audience with the diplomats in Dar es Salaam.
SOURCE: THE GUARDIAN


CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaandaa mikanda ya video itakayoonyesha matukio yote yaliyotokea wakati wa vurugu zilizozaa maafa wakati wa maandamano ya wanachama wa chama hicho katika Jiji la Arusha mwanzoni mwa mwezi huu.
Hatua hiyo ya Chadema kuandaa mikanda ya tukio hilo inakuja kama majibu ya kile kilichofanywa na Jeshi la Polisi ambalo kwa siku kadhaa wiki iliyopita lilisambaza katika vituo vya televisheni video za matukio ya Arusha ambazo zimezusha manung’uniko ya chini kwa chini kutoka kwa wananchi wa Arusha na ndani ya chama hicho cha upinzani.Source: Tanzania Daima

Maswali kwa Jeshi la Polisi na JK: Mtachoka Mpaka Lini Kuwadanganya Watanzania? Bado Mnawafanya Watanzania Kama Wake Nyumba ya Pili...Jeshi la Polisi Siku Hizi Wanatengeneza Videos, Mbona Hakuna Video za Richmond na Dowans? Vipi Videos za Mkapa, Lowasa, Chenge, Mramba, Rostam na Mafisadi Wengine? Mipango ya Wizi na Udanganyifu kwa Wananchi Siku Zote Hautafanikiwa Kamwe
 
Back
Top Bottom