Jeshi la polisi kwa hili tukio la leo mnawaonea CHADEMA

''THERE IS NO FREEDOM WITHOUT SLAVERY''(HAKUNA UHURU BILA KUWEPO UTUMWA)..............................................................TAFAKARI YA HUU MSEMO UKIONA UTUMWA UMEENEA SANA UJUE UHURU UNAKARIBIA.......NDO MAANA HUU MSEMO UKIUTAFAKARI UTAGUNDUA KUWA TANZANIA KUNA MABWANA,WATWANA.WALOWEZI,WAHUNI,MAFISADI,WALANGUZI,WALALAHOI WENGI TU..HII NI DALILI YA UTUMWA NA ITIKADI ZA KUPATA UHURU HUKO HUKO SIYO UHURU WA BENDERA HUU TUNAO....'''ni uhuru wa kujitambua hasa katika kupigania haki''' ...
 
Kwa hali hii natabiri umwagaji mkubwa wa Damu. Kama kina IGP Mko humu jamii angalieni maslah ya wa Tz na si Ya CCM. Fikirien tutakapo chukua nchi Nyadhifa zenu zitakuwaje.
 
Chadema walipanda gari tu kupita eneo la chuo udom wakakamatwa na kusimamishwa masomo. Hawa wa ccm mbona sijasikia wamekamatwa. Bila busara za mahakama wanafunzi 11 wa udom wanachama wa cdm wangekuwa nje kisa wamekutwa na scarf na kadi za chadema kwenye daladala. Ccm ni kansa inayotafuna tanzania......tunahitaji chemotherapy kuondoa hii malignant tumor....ccm
 
CCM sisi wananchi tunawapima kwa uwezo wenu wa kupambanua mambo, na kusimamia yale nayotolea maamuzi.
Mimi sielewi ile historia ya Shule ya msingi inawasaidia nini ? endapo mesahau kuwa Nyerere alianza siasa akiwa shuleni hadi chuoni tena akiwa mwanafunzi hadi alipokuwa mwalimu.
 
Pia nakumbuka JK alituambia pale jakwani kuwa vyama vya upinzani vinafanya kazi uchaguzi ukikalibia. Sasa magamba wamemsikiliza JK, CCM wanaanza kupinga hatua hiyo.
 
Katika mahafali ya kwanza Chuo Kikuu Cha Dodoma 2010. Aliye kuwa mgeni Rasm Ndugu J.K Aliwaasa wanafunzi vyuoni kuachana na Siasa Jambo hili pia limekuwa likivaliwa njuga na viongozi wa serikali ya CCM, hata Spika wetu amekuwa akionya mara kwa mara kuwa vijana wasome kwanza Leo waliojiita vijana wa CCM WA VYUO VIKUU walioandamana eti kuunga maamuzi ya CC YA CCM nakutaka viongozi walio tajwa kuhusika na ufisadi wasipewe vyeo vingine badala yake wakaozee gerezani! Msema kweli mpenzi wa Mungu Kwa mujibu wa polisi taarifa ya maandamano hutolewa kabla ya siku 3. Maamuz ya cc ya ccm yalitoka ijumaa maandamano yamefanyika jumapili. Hivi kweli utaratibu wa Maandamano ulifuatwa na hawa wanaojiita wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa CCM. Nasema jeshi la polisi acheni kudhihirisha udhaifu wenu wakuitumikia CCM Hadharani. Wangekuwa vijana wa Vyuo vikuu wa CHADEMA Maandamano yao yangeitwa batili na wangeishia kupigwa virungu na Mabomu ya machozi Wangekuwa wa CHADEMA leo kingenuka Daa na tungesikia hawa viongozi wa CCM wakiwabeza kuwa waachane na siasa

Wala mkuu Simon usijali sana!!. Polisi wa Tanzania ni chombo cha kulinda maslahi ya CCM. Hilo ni wazi kila kukicha. Highness Kiwia na mwenzake wa Mwanza walikatwa mapanga mbele ya polisi na inasemekana hata polisi walishiriki kuwachinja.
Huko USA RIVER mwenyekiti wa CDM amechinjwa kama kuku! Polisi wanafanya uchunguzi wa KISANII. Hili jeshi tutalioverhaul 2015 waache watapetape tu!!
 
Katika mahafali ya kwanza Chuo Kikuu Cha Dodoma 2010. Aliye kuwa mgeni Rasm Ndugu J.K Aliwaasa wanafunzi vyuoni kuachana na Siasa Jambo hili pia limekuwa likivaliwa njuga na viongozi wa serikali ya CCM, hata Spika wetu amekuwa akionya mara kwa mara kuwa vijana wasome kwanza Leo waliojiita vijana wa CCM WA VYUO VIKUU walioandamana eti kuunga maamuzi ya CC YA CCM nakutaka viongozi walio tajwa kuhusika na ufisadi wasipewe vyeo vingine badala yake wakaozee gerezani! Msema kweli mpenzi wa Mungu Kwa mujibu wa polisi taarifa ya maandamano hutolewa kabla ya siku 3. Maamuz ya cc ya ccm yalitoka ijumaa maandamano yamefanyika jumapili. Hivi kweli utaratibu wa Maandamano ulifuatwa na hawa wanaojiita wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa CCM. Nasema jeshi la polisi acheni kudhihirisha udhaifu wenu wakuitumikia CCM Hadharani. Wangekuwa vijana wa Vyuo vikuu wa CHADEMA Maandamano yao yangeitwa batili na wangeishia kupigwa virungu na Mabomu ya machozi Wangekuwa wa CHADEMA leo kingenuka Daa na tungesikia hawa viongozi wa CCM wakiwabeza kuwa waachane na siasa

Wala mkuu Simon usijali sana!!. Polisi wa Tanzania ni chombo cha kulinda maslahi ya CCM. Hilo ni wazi kila kukicha. Highness Kiwia na mwenzake wa Mwanza walikatwa mapanga mbele ya polisi na inasemekana hata polisi walishiriki kuwachinja.
Huko USA RIVER mwenyekiti wa CDM amechinjwa kama kuku! Polisi wanafanya uchunguzi wa KISANII. Hili jeshi tutalioverhaul 2015 waache watapetape tu!! Na huyu aliyekuwa Interpole aka Bwana inteligensia IGP Mwema ananuka sasa
 
Hao vijana wameijulia wapi ccm, ikiwa kiranja wao Nape mwenyewe haijui. Amebaki kugeuzwa vuvuzera la ccm.
 
Back
Top Bottom