Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,607
Profesa je?Form four miaka 19 maximum.
Form six miaka 21 maximum.
Degree miaka 23 maximum.
Masters miaka 27 maximum.
Profesa je?Form four miaka 19 maximum.
Form six miaka 21 maximum.
Degree miaka 23 maximum.
Masters miaka 27 maximum.
Prof utaziweza root za kula Kwa kuponProfesa je?
www.jkt.go.tzHii habari ina ukakasi sijui kama ina ukweli wowote
Jeshini rushwa haitaisha kwenye suala la ajiraSawa kabisa tumepitia huko tumeshuhudia watu wakikatwa mabogi na kubaki then mnarudishwa kwenu
Hamna kitu...wewe umeona?
we ni mchocheziTatizo jeshini hakuna muda wa kuswali swala tano za fardhi...
Siwezi kuacha kumuabudu Mola wangu nikajambishwe na vikoplo nyang'au.
Nafikiri wataweka ila kwenye ITV habar wametangaza.Hamna kitu...wewe umeona?
duuh! !Tatizo jeshini hakuna muda wa kuswali swala tano za fardhi...
Siwezi kuacha kumuabudu Mola wangu nikajambishwe na vikoplo nyang'au.
Si wanasema kule wanafundishwa uzalendo. Maana nahisi sina huo uzalendo (kwa mujibu wa kiongozi fulani wa juu wa nchi hii)sasa ndugu yangu ,35 years wenzio wanalea vitukuu,wewe bado unataka kwenda jkt ukazalilishwe na vile vikoplo?seriously?
Kama Masters ni 27 Basi ngoja nikasoseme PhDForm four miaka 19 maximum.
Form six miaka 21 maximum.
Degree miaka 23 maximum.
Masters miaka 27 maximum.
Hivi kwa degree holder mwisho miaka mingap kujiunga?
Chanzo cha taarfa ni ITV SAA mbili usiku, Aliye na masharti waliyoyatoa atuwekee tuone kama sifa znakubali!