Jeshi la Iran: Tutapiga kituo cha nyuklia cha Dimona iwapo Israel itaishambulia nchi

Mataifa yote ni teule na ni chaguo lake ,acheni udini na ubaguzi wa aina wowote ni dhambi
 
Naibu kamanda wa jeshi la Iran Jenerali Mas'ud Jazairi amesema kuwa Iran itajibu mashambulizi yoyote ya Israel dhidi ya vituo vya kuzalisha nishati ya nyuklia hapa nchini kwa kulenga kituo cha silaha za nyuklia cha Israel huko Dimona.

Jenerali Jazairi amesema kituo cha silaha za nyuklia cha Dimona ni shabaha rahisi kwa jeshi la Iran na kwamba iwapo utawala huo ghasibu utathubutu kushambulia Iran basi Tehran haitanyamaza kimya. Ameashiria pia vitisho na mipango ya Marekani ya kutekeleza mauaji ya kigaidi dhidi ya viongozi wa ngazi za juu wa jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini na kusisitiza kuwa majibu ya Iran yataitia majuto Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Siku chache zilizopita utawala ghasibu wa Israel ulisema kuwa unafikiria kushambulia vituo vya kuzalisha nishati ya nyuklia nchini Iran.
Yericko Nyerere Ndie Jason Bourne ?

JF sometimes Inaumbua
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu kwa taarifa ila mimi nina mashaka na uwezo wa Irani kama kweli Israel wataamua ku attack Nuc sites za Irani. Maana nadhani bado wanazo patriotic missiles za wakati ule wa Gulf war modified versions. Ila ni hatari kubwa kwa dunia yote!!!!!!!

Mkuu ulikuwa wadhania Una reply thread ya Jason Bourne Kumbe Ndie Yericko Nyerere
 
Nani kasema Israel ni taifa teule hebu ingia google andika Ashkanazi Jews ndio utasema hawa wanaojiita wayahudi sio wale waliokuwa Taifa Teule akili zako fupi wale ni wayahudi walio jifanya wayahudi asili yao sio kabisa uzao wa Ibrahim
 
Sawa mkuu kwa taarifa ila mimi nina mashaka na uwezo wa Irani kama kweli Israel wataamua ku attack Nuc sites za Irani. Maana nadhani bado wanazo patriotic missiles za wakati ule wa Gulf war modified versions. Ila ni hatari kubwa kwa dunia yote!!!!!!!

Kama wewe unaeishi nchi ya kusadikika unayajua hayo!
Unadhani Iran hakuna wajuvi wa mambo ya kivita na teknolojia yake?
 
Israel siyo taifa!wamepora ardhi ya wapalestina!waisraeli ni WATUMWA hawana nchi


Nani kasema Israel ni taifa teule hebu ingia google andika Ashkanazi Jews ndio utasema hawa wanaojiita wayahudi sio wale waliokuwa Taifa Teule akili zako fupi wale ni wayahudi walio jifanya wayahudi asili yao sio kabisa uzao wa Ibrahim


Mnajiandikia tu hata Hilo Taifa linalojiita Palestine hamjui limeanza lini unang'aka tu Wapalestina wameporwa Ardhi yao...! Hao Waarabu Asili yao ni Egypt,Saudia Arabia na Yemen Ndio Wanajiita Wapalestina.

Kwa Taarifa yako Hapo Jerusalem inawakazi wenye asili tokea ilipokuwa Inaitwa Caanan wapo Samaritan ambao hawakuwahi kuondoka nchi hiyo ya Ahadi pamoja na Tawala kibao zilizopita na Wayahudi wengi walisambaa Duniani na Historia inasema watarejea wote...Hizo unazosema wamepora pole sana maana Baba wa Hiyo ardhi Mojor Rothschild alinunua na Waarabu wengi walifurahi sana... kuuza maeneo yasiyo yao maana walitokea Misri ambapo ni kwao. Hizi Mada zishajadiliwa Sana na Muslim walikuwa wanahifadhi zao za vimaneno walivyokuwa wakivipata Misikitini lakini hapa Walikimbia Mbio baada ya kukutana na Kiboko yao Mimi Wa Waislam wote maana niliwaambia wajikusanye Wote.. wakaja wakapa habari zote tena kwa ufasaha na ushahidi wakasepa wewe iweje uje na vimaneno viwili tu watu watakuelewa vipi...

Wajua Waisrael ni Ashkenazi pekee? pole Israel ni Watoto wa Jacob ambao wanarepresent makabila Kumi na Mbili... Uliza Maswali uelimishwe sijui Ponda anafikia hadi kuwarubuni na Yahusiyo Israel! hawezi kitu... Mleteni tumpe Elimu pia ni Haki yake kupata Neno limuingie
 
Back
Top Bottom