Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,870
- 2,176
Kwema wakuu?
BOCA JUNIORS wana jezi kali sana , nitazipata wapi kwa hapo dar?
BOCA JUNIORS wana jezi kali sana , nitazipata wapi kwa hapo dar?
Kwenye maduka ya vifaa vya michezo hukosi, kwa kina Shafih Dauda unaweza kupata, ingia kkoo.
Yanga tunafeli wapi kutengeneza jezi kali
Tatizo ngoi kila kitu anataka kutia kweny Jez na zamsimu ujao nasikia ataweka makabur ya jagwan kuwaenz wazeeYanga tunafeli wapi kutengeneza jezi kali
Hua mnaviherehere na Yanga yaani kila kitu lazima muitajeYanga tunafeli wapi kutengeneza jezi kali
Uliagiza kupitia website gani? Na bei zikoje? Maana kama ni original kit ni kisanga kingine.Agiza online mimi nlihangaika sana kupata jersey ya Sampdoria ikabidi ni agize online
45 Minutes Store msimu uliopita walikuwa nazo, sijajua msimu huu, nimewauliza kwenye Twitter yao kama wakijibu nitakupa mrejesho.Kwema wakuu?
BOCA JUNIORS wana jezi kali sana , nitazipata wapi kwa hapo dar?
View attachment 2354295
View attachment 2354195View attachment 2354196View attachment 2354197View attachment 2354198View attachment 2354199View attachment 2354200
MREJESHO: Wanayo hii ya away.45 Minutes Store msimu uliopita walikuwa nazo, sijajua msimu huu, nimewauliza kwenye Twitter yao kama wakijibu nitakupa mrejesho.
MREJESHO: Wanayo hii ya away.View attachment 2354445
Ni hiyo tu ndo wanayo.Ni hiyo tu, hawana design kama hizo mkuu?
Nli shop kwa kit supplier wao Macron kila kitu ilifika almost 250KUliagiza kupitia website gani? Na bei zikoje? Maana kama ni original kit ni kisanga kingine.
Natafuta sana uzi wa Bournemouth na Venezia.
Jersey Nzuri
Bei zao zipoje ?Kuna watu wapo twitter instagram n.k wanaitwa 45 minutes wacheki, binafsi kila msimu ukianza huwa nachukua jersey mbali mbali kwao
Kuanzia 27k n.k wana huduma pia ya kuandika jina na kuweka nambaBei zao zipoje ?