Jerry Muro.......any updates pls !!

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
12-03-2010 Leo ilikuwa ni Kesi ya huyu Mtangazaji wa TBC one ..Kuna yeyote aliye na update mpaka sasa Kesi inakwendaje??MJI na wengine tupeni news
weekend Njema
 
Michael bado ana chunguzwa na Taka-kuru hivyo wana hii delay case yake, imepigwa kalenda.
Mmhh kumbee leo ni Weekend? nilikuwa nimejisahau kabisa duh!
 
Micheal bado ana chunguzwa na Taka-kuru hivyo wana hii delay case yake, imepigwa kalenda.
Mmhh kumbee leo ni Weekend? nilikuwa nimejisahau kabisa duh!

mmh CarthBertL uchunguzi gani huo
haya ngoja tusubiri
thanx
 
Mwacheni apumnzike jamani maana yaliyo mkuta anajuuuuuuuuuuuuuta
 
Kama kweli alipokea rushwa na aende ndani bana!
How come unapreach usafi wakati weye ni mchafu!
 
Michael Wage is a burning candle...

Msamaria aliyejitolea kulisaidia Jeshi la Polishi wakati akichunguzwa na T.K. Kluu..

Hope Geshi la Polishi litamsadia kuepukana na kadhia hili la kesi ya ubadhilifu wa mabilioni ya vijisenti vya umma kwa moyo wake wa kujitolea kulisaidia Ghesi hilo kumdhibiti J. Muro..
 
Back
Top Bottom