Jengo la Mafuta House labadilishwa jina kuwa B W Mkapa

Wazee acheni bifu!!!

Mi nashauri majengo ya msajiri yote yaitwe Mkapa!!! Ikiwezekana hata madaladala!!!!!!

hehheee, hata mie naunga mkono hapa ! (najua wengi watasema) lakini ikiwezekana hata rangi ya hayo majengo yote wapake kijani kibichi na kisungura tope kwa chini yake !
 
AMEFANYA MENGI KTK HILO JENGO MUULIZENI YONAH KILAGHANE,HATA ULE UWANJA NI MATOKEO YA AHADI YAKE KWA WANA MICHEZO KUWA " NAKIRI SIJAFANYA JITIHADA YA KUINUA MICHEZO,HII IMETOKANA NA MFUMO USIELEWEKA KTK NYANJA NZIMA YA MICHEZO NA WANAMICHEZO WENYEWE,WATANZANIA WANAPENDA MICHEZO NA KUTAMBUA HILO NAAHIDI KUWAJENGEA UWANJA WA KISASA WA MICHEZO"

NI VEMA TUKAUPATIA UWANJA HUO JINA LAKE KWA SABABU NYINGI SANA AU LA BASI NI JULIUS K.NYERERE KWANI NDIYE ALIYEMPA NCHI NA NI MUASISI WA TAIFA.

MAJENGO YA MAFUTA NA UBUNGO PLAZA YALISHAKUWA VIMEO KWA WAASISI WA MIRADI HIYO, NADHANI KAMA SI MKAPA BASI WANGEMPA FREDERICK TLUWAY SUMAYE AMBAYE NAYE LICHA YA KUKOPA HUMO AMEKUWA MHIMILI WA MAGEUZI YA MAJENGO HAYO MPAKA HAPO YALIPOFIKIA.

NATOA HOJA

HOJA IMEKUBALIWA MHESHIMIWA ! MAWAZO MAZURI HAYO !
 
Hivi hawa CCM wanafanya hivi kwa kumkubuka kwa lipi hasa alilo lifanya ndani ya CCM ? Lazima patakuwa na sababu tu , hebu wajuvi njoeni na sababu za kupewa heshima hii ama ndiyo tena inakuwa namna kurithishana majina kila kona ? Maana hata miaka 2 bado kila kona kuna shule za Salm JK wakati Maria Nyerere sijui kwamba hata anakumbukwa kwa namna hii .

umeambiwa wanaoingia ndani ya lile jengo ni wanaccm au wananchi ?? mzee acha kukurupuka tu !

pale hata vitukuu vyako vitakuwa na uwezo wa kuingia wakitaka na haina haja ya kuonyesha kama wewe ni mwanachama wa chama cha siasa, so toa ccm katika hoja yako !
 
Mimi nilifikiri kapewa jengo kumbe jengo limetajwa jina lake! Yaani JF mmekuwa kama waandishi wa habari, kichwa cha habari kikubwa, ukisoma ndani, oops. Sasa madamu huyu bwana alishakuwa kiongozi wetu, pamoja na matatizo yake aliyokuwa nayo, mambo kama haya hayakwepeki, majengo, barabara,mashule, n.k. yatajwa tu jina lake, na binafsi sidhani kwamba hii inapaswa kuwa ishu!

karibu mzee ! ndio JF hiyo, nashauri hata hii forum iitwe MkapaForum !
 
mimi nilipoona heading nikajua aliyeileta anaongelea nyumba ya mkapa anayojengewa na serikali MASAKI kama zawadi ..ikiwa ni sehemu ya stahili za rais mstaafu..kumbe mnaongelea MAFUTA HOUSE ..infact mkapa kajitahidi kuleta maendeleo pamoja na makosa anayotuhumiwa ..SIO VIBAYA HILO JENGO Kuitwa BENJAMIN WILLIUM MKAPA....

HATA na UWANJA WA TAIFA MPYA uitwe BENJAMIN WILLIUM MKAPA NATIONAL MORDERN STADIUM....or like that..walioingia wajenge vyao navyo tuvipe majina yao....ie JAKAYA MRISHO KIKWETE NATIONAL THEATRE OR JAKAYA KIKWETE NATIONAL INDOOR STADIUM ets

ndio hapo, kama mkapa alifanya lile jengo lijengwe, kwa nini wasingempinga since then ? ila wanakuja kupinga jengo kupewa jina, what little babies they are !
 
Kwani miji nayo haiwezi pewa majina ya watu??? Haki ya nani tena Dar ingekuwa NKAPA CITY, ningehama makunduchi mieeee!!!
 
In other words you kind of admit that you really cannot defend or prove your contention (other than the flimsy and rather incoherent attempt you've already provided which any teen doing middle school economics could answer in their sleep.)

...this isnt even worth commenting on. You obviously are a moron!
 
Kada, unajua huu ni upuuzi mtupu!!!

Hawa watu wana majumba mengi tu wanaandikisha majina ya watoto wa mjomba!!!!! Si wakabadilishe hati za majumba yao kwanza?
 
Back
Top Bottom