Jengo gani ni refu kuliko yote Jijini Dar es Salaam?

DAR ES SALAAM | Tanzania Ports Authority HQ | 35 fl | U/C

DAR ES SALAAM | Tanzania Ports Authority HQ | 35 fl | U/C - SkyscraperCity

Projects-TPA_12.jpg
Projects-TPA_09.jpg


Two construction cranes at the site


DSC02354_zpsec0cf7ad.jpg



DSC02355_zps0badbaa5.jpg










TPA TOWER ON THE RIGHT, NOVEMBER 10 2013


1f7a3228495611e390cd22000a1f90d7_8.jpg
 
Jiji la Dar es salaam hakika kila uchao linaendelea kujengwa na ikiwa mtu
utaacha kwenda Dar kama uko Mkoani kwa
muda wa miaka miwili unaweza potea


Serikali nadhani pia imeshindwa kuhamia
Dodoma kwakuwa Dar ndiyo mambo mazuri mazuri hupatikani. Yaani vitu vizuri vinajengwa kila uchao.

Nadhani ukweli hapo ni ngumu kusema
Jengo gani ni refu sana labda BODI YA WAKANDARASI huenda ikawa na takwimu sahihi.
 
Jengo la nakiete pharmacy pale mwenge ndo refu sana africa mashariki achilia mbali dar
 
kitu jengo letu PSPF TOWER GOLDEN JUBILEE...LOL

karibu ofisin KLSA 16th floor uone navyoiona dar nzima////lol
 
pspf commercial building 152mtr ndo refu zaid tanzania na africa mashariki kwa ujumla na la 3 barani africa likiongozwa na ponte city apartments tower johanesburg 173mtr south africa, Nitel building 160mtr lagos nigeria
 
pspf commercial building 152mtr ndo refu zaid tanzania na africa mashariki kwa ujumla na la 3 barani africa likiongozwa na ponte city apartments tower johanesburg 173mtr south africa, Nitel building 160mtr lagos nigeria

nilikuwa sijui kama hili jengo linaweza kuwa LA NNE kwa urefu africa. post yako imenifanya nitafute facts...ni la nne la kwanza ni calton center,ponte city apartment,nitel building then ndio hili Jubilee Tower....lakini nahisi yale twin tower pale karibu na makao makuu ya TRA yatakuwa marefu zaidi.
 

umepotelea wapi we mtaalam wa picha??? mimi huwa natembelea kule kwenye thread ya DART kuona picha zako tu,naona leo umerudi na picha za uhakika...BIG UP......browser yangu haina LIKE ningekugongea kumi.
 
afu ukisha jua sasa itakusaidia nin?

Hata kama hana jingine lolote kujua jibu kutamsaidia kuondoa kiu yake ya kujua.

Utashi ni hulka ya binadamu, hususan binadamu wenye fikara na kujiuliza.

Pia mara nyingi, hasa katika sayansi, watu wameanza kwa kujiuliza maswali ambayo yameonekana hayana faida yoyote, lakini baadaye yakatuletea vitu vyenye matumizi mazuri kama umeme, computer, GPS na mengine mengi kama hayo.

Kwa hiyo kuuliza swali ambalo leo linaonekana kama halina sababu ya kuulizwa si kitu kibaya.
 
Back
Top Bottom