GreenHouse
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 280
- 262
- Thread starter
- #261
Hi kamanda. Kwa Banda kama hilo ni saizi gani? Na mfano ukipanda nyanya au hoho kwa kufata matakwa yake sahihi kwa vuno moja waweza pata kiasi gani?
Samahani ndugu, naomba usome thread nzima utafaidika zaidi. kwani maswali yote nimeshayajibu. Ama kwa swali lako, hakuna mvuno mmoja au miwili au mitatu, tunavuna kila wiki kwa mwaka mzima, na avarage ni kilo 300-700 kwa wiki kulingana na matunzo na ufuataji taratibu na muongozo wa kilimo.